Taa ya ajabu!!!

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
JE UMECHOSHWA NA HALI YA SASA YA MGAO WA UMEME?
JE, VIPI KUHUSU BEI YA MAFUTA KUPANDA, HAIKUUMIZI? NA
JE, VIPI KUHUSU ATHARI ZA MSHUMAA, HUZIOGOPI?​

KAMA MAJIBU YAKO KWA MASWALI HAYO HAPO JUU NI NDIO, SULUHISHO LIPO. NALO NI....​
LED.jpg eco_crank.JPG

CRANK BOX
  • HAITUMII BETRI
  • HAITUMII UMEME WA JUA
  • HAITUMII MAFUTA YA TAA/PETROLI/DISELI
  • WARANTI YA MWAKA MMOJA KWA MAUZO YOTE
INAWAKA KWA ZAIDI YA MASAA 2 KWA KUBONYEZA TU.

KWA TZS 15,000/= TU! SAHAU MGAO WA UMEME..

Fika dukani kwetu kwa maelezo zaidi.
Tupo Mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha dalala dala.
AU
Tupigie simu: 0653 297681/ 0659 381812.
 
Mkuu buji buji. Hiyo ni kwa matumizi ya taa tu. Na ndio maana inatwa taa ya ajabu na si jenereta.

Asante & Karibu!
 
Lakini si umesema sahau mgao wa umeme?

Ndio mkuu!
Sahau kabisa kuwepo gizani.... tumia taa ya ajabu! Epuka gharama zisizokuwa na ulazima. Jali afya yako.
Njoo tukupatie taa ya ajabu kwa bei poa kabisa.

Karibu sana!
 
Una maana gani kwa kubonyeza?.
Inawaka masaa mawili then what?ama unabonyeza tena?
 
Kuna nishati nasikia inaitwa moto poa kama mbadala wa majiko ya umeme na ya gesi. nadhani hivi vinaweza kusaidiana vema na hiyo taa ya ajabu.
 
Una maana gani kwa kubonyeza?.
Inawaka masaa mawili then what?ama unabonyeza tena?

Kila kitu kinahitaji energy ili kifanye kazi, Hii taa inaendeshwa kwa nguvu ya (lets say coil) amapo ukibonyeza hiyo coil inajikunja na inahifadhi energy ambayo ikifunguka itatoa hiyo energy tena ambayo ndio unazungusha motor inayotoa umeme unaowasha taa. Mfano mzuri ni saa ya mkononi unavyoijaza ufunguo.., usipoijaza basi itasimama.. Kwahiyo hii taa inabadilisha Mechanical Energy (kubonyeza) kwenda kwenye Electrical Energy
 
alafu pale Samaki kuna vituo viwili in each side of the road. Bora useme duka lako liko upande gani na kama lina Jina
 
this is a nice product,hasa vijijini,how many cycles do u have to crank kupata hiyo 2hrs of linght.
Je bei ya jumla ni kiasi gani??
JE UMECHOSHWA NA HALI YA SASA YA MGAO WA UMEME?
JE, VIPI KUHUSU BEI YA MAFUTA KUPANDA, HAIKUUMIZI? NA
JE, VIPI KUHUSU ATHARI ZA MSHUMAA, HUZIOGOPI?

KAMA MAJIBU YAKO KWA MASWALI HAYO HAPO JUU NI NDIO, SULUHISHO LIPO. NALO NI....​
View attachment 22728View attachment 22729

CRANK BOX
  • HAITUMII BETRI
  • HAITUMII UMEME WA JUA
  • HAITUMII MAFUTA YA TAA/PETROLI/DISELI
  • WARANTI YA MWAKA MMOJA KWA MAUZO YOTE
INAWAKA KWA ZAIDI YA MASAA 2 KWA KUBONYEZA TU.

KWA TZS 15,000/= TU! SAHAU MGAO WA UMEME..

Fika dukani kwetu kwa maelezo zaidi.
Tupo Mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha dalala dala.
AU
Tupigie simu: 0653 297681/ 0659 381812.
 
this is a nice product,hasa vijijini,how many cycles do u have to crank kupata hiyo 2hrs of linght.
Je bei ya jumla ni kiasi gani??

Mkuu mzalendo.
Hii teknolojia ni nzuri sana kwa vijijini. Inaweza kusaidia savings kwa kiasi kikubwa sana. Inabidi ku-crank kwa muda wa dk 1(assuming 1sec=1cycle) ili uweze kupata huo mwanga wa masaa 2. Kwa biashara zaidi, tafadhali wasiliana nasi kwa namba hizo hapo chini au tutembelee dukani kwetu mbezi beach samaki. Utaona bango kubwa tu limeandikwa TAA YA AJABU na maelezo yake INAPATIKANA HAPA! Karibu sana Mzalendo.
 
alafu pale Samaki kuna vituo viwili in each side of the road. Bora useme duka lako liko upande gani na kama lina Jina

Mkuu 66,
Duka letu lipo upande wa chini. Yaani kama unatokea mjini kuelekea tegeta ni upande wa kulia na kama unatokea tegeta kuelekea mjini ni upande wa kushoto. Lipo upande wa kituo cha daladala kama unatokea tegeta. Angalia duka lenye sign iliyoandikwa TAA YA AJABU. Karibu sana!
 
Kweli hii ni taa ya ajabu, yaani inawasha ma friza, microwave na vitu vya nyumbani kwa buku 15 tu!!!!!!!!
Ahaaaa yani mtu anasahau kabisa maswala ya msingi kwa ajiri yakutangaza biashara yake!!akiliimemhama!!!
 
Kwa hiyo hii taa unkishabonyeza mara moja ni basi mpaka kesho yake na baada ya masaa mawili diyo basi au unafanyaje tena ili uendelee lupata mwanga

JE UMECHOSHWA NA HALI YA SASA YA MGAO WA UMEME?
JE, VIPI KUHUSU BEI YA MAFUTA KUPANDA, HAIKUUMIZI? NA
JE, VIPI KUHUSU ATHARI ZA MSHUMAA, HUZIOGOPI?​

KAMA MAJIBU YAKO KWA MASWALI HAYO HAPO JUU NI NDIO, SULUHISHO LIPO. NALO NI....​
View attachment 22728View attachment 22729

CRANK BOX

  • HAITUMII BETRI
  • HAITUMII UMEME WA JUA
  • HAITUMII MAFUTA YA TAA/PETROLI/DISELI
  • WARANTI YA MWAKA MMOJA KWA MAUZO YOTE
INAWAKA KWA ZAIDI YA MASAA 2 KWA KUBONYEZA TU.

KWA TZS 15,000/= TU! SAHAU MGAO WA UMEME..

Fika dukani kwetu kwa maelezo zaidi.
Tupo Mbezi Beach - Samaki Karibia kabisa na kituo cha dalala dala.
AU
Tupigie simu: 0653 297681/ 0659 381812.
 
After 2 hours unatupa we umjui mchina hahahaaa

Mkuu not necessarily kama product imetengenezwa vizuri inaweza ikadumu..., taa hazitumii voltage nyingi zi unajua hata motor ya baiskeli inavyowashwa kwa kuzungusha tairi..., sasa hapa ni kwamba hii taa inao uwezo wa kutunza hiyo energy ili itumike polepole
 
duh! kweli kufa kufaana, sasa elfu 15,000 ndio bei ya kuuzia au ya kuanzia? hii labda itapunguza punguza machungu ya kukatiwa umeme wiki nzima asubuhi mpaka saa 5 usiku....huku wadanganyika wakiwa kimyaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom