T-shirts za jamiiforums

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
za jioni wana-jamvi.
just wondering where i can get JAMIIFORUMS T-SHIRTS. are they still in stock or not??
 
Sharti kubwa LA T-Shirts zile ni kuwa Premium Member(kwa mujibu wa Maxence)!
Ni kama vile Mkuu huyu aliamua kuwatambua marafiki zake waliojishughulisha kwa namna yoyote kuhakikisha kuwa JF inabaki hewani!
Sasa sitamhukumu mtu, kila mmoja wetu achanganye na zake...Utu Uzima Dawa!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
sharti kubwa la t-shirts zile ni kuwa premium member(kwa mujibu wa maxence)!<br />
ni kama vile mkuu huyu aliamua kuwatambua marafiki zake waliojishughulisha kwa namna yoyote kuhakikisha kuwa jf inabaki hewani!<br />
sasa sitamhukumu mtu, kila mmoja wetu achanganye na zake...utu uzima dawa!
hope ni zaidi ya kikombe cha babu
 
Sharti kubwa LA T-Shirts zile ni kuwa Premium Member(kwa mujibu wa Maxence)!
Ni kama vile Mkuu huyu aliamua kuwatambua marafiki zake waliojishughulisha kwa namna yoyote kuhakikisha kuwa JF inabaki hewani!
Sasa sitamhukumu mtu, kila mmoja wetu achanganye na zake...Utu Uzima Dawa!

Rejea mbayuwayu ....Changanya na zako *hehe the only prezidaaa*
 
No Maxence; jamii forum ni kwa wana jamii forums; huku kuchangai points isiwe kigezo cha kutubaguaga bana; kama kweli ni haya yanayosemwa hapa ndo kigezo cha kugawa tshirt then mie na hesabia ni ubaguzi
 
Kweli mkuu, kama ni kweli mh maxence ameamua tshirts za jf wapewe premium members tu (siamini) basi amekosea bana! Jamani hzo tshirt ziuzwe, na ndy chanzo cha mapato. Kuchangia JF tutachangia tu mazee muda muafaka ukifika, na hizo Tshirt tunazitaka sana-tena nyingi!
 
No Maxence; jamii forum ni kwa wana jamii forums; huku kuchangai points isiwe kigezo cha kutubaguaga bana; kama kweli ni haya yanayosemwa hapa ndo kigezo cha kugawa tshirt then mie na hesabia ni ubaguzi
Mkuu MJ,

Si kuchangia POINTS, ni kuchangia HELA(Mkono mtupu.......)!

AHSANTE!
 
ngja nitume email huko

Nakushauri we nenda kwa hawa jamaa wanaotengeza T-shirt wape sample na order yako then subiri mzigo wako ila ninachofahamu hadi sasa kuna BOXERS kwa wanaume na BIKINI kwa Ladies tu.
 
Hizo zina nembo ya JF? Acha masihara!
 
wewe umechanganya na za kwako kweli?
 
No Maxence; jamii forum ni kwa wana jamii forums; huku kuchangai points isiwe kigezo cha kutubaguaga bana; kama kweli ni haya yanayosemwa hapa ndo kigezo cha kugawa tshirt then mie na hesabia ni ubaguzi
We Maskini Jeuri tuma msg kule uliko elekezwa na Preta, kule utapata majibu ya uhakika. Ubarikiwe.
 
Hizo zina nembo ya JF? Acha masihara!

Zipo mbona mimi nimevaa ila nikifua boxer zenye hii nembo huwa nazianika bafuni tu! nje zitaonekana.
kama unabisha nipe contact zako nikutumie complimentary.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom