T-shirt za dr slaa

Ni wazo zuri..
mimi nitachangia kwa hali na mali kufanikisha lengo.
Naomba A/C husika nipeleke mchango wangu ili kuwezesha utengenezwaji wa T-shirts zenye nembo Dr. Slaa/CDM
 
watakifuatilia kiwanda au printer aliyezitengeneza na kumtafutia visa na hatimaye kumfilisi.
 
:whoo:

Niwekewe Order ya tatu tafadhari.

Moja ya kwangu

Nyingine ya Wife

Nyingine ya Chalii wangu ambae ukinyoosha dola gumba tu anakunja uso
, ukinyosha double finger anakupigia makofi

Mkuu hiyo iko makini, ukienda sehemu kama karatu au moshi madogo CHADEMA iko damuni.
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

Uhuru, Tazama, Taifa Tanzania, Hoja,Annuur, Alhuda, Tathmini, Rai & Co wataandika kwenye vijarida vyao kuwa CHADEMA WAANZA KUTEMBEZA BAKULI KWA STYLE MPYA, WAMEFULIA
 
:whoo:

Niwekewe Order ya tatu tafadhari.

Moja ya kwangu

Nyingine ya Wife

Nyingine ya Chalii wangu ambae ukinyoosha dola gumba tu anakunja uso
, ukinyosha double finger anakupigia makofi

Hapa mi nimevunjika mbavu kwa kucheka man....mpaka nimeshindwa ni komment nini!!
All the best tutazinunua kwa wingi ili kuchangia chama pia na asizitoe bure kama ccm.
 
Jambo la mbolea sana hilo nilipoona hii thread nimeifungua kwa spidi nikijua unanitaarifu zinapatikana mahali fulani. Anywa nadhan tangu ujiunge na JF leo ndio umetoa wazo la maana zaidi. Big up sana. Mimi ntahitaji tshir 8 moja ya kwangu nyingine za wadogo za na za wazee maana familia nzima tulipigia chadema. Ila nashauri ziwe zinye kiwango cha kutosha sio kama zile za CCM unavaa siku mbili zinachanika.kitu kingine nashauri watengeneze tshirt za round na zile zenye kora ila kuwapa watu uhuru wa kuchagua..pia wasisahau kuweka rangi ya bendera ya chadema na double fingers....Peopleeeeee's......powerrrr..

Ili kuteka soko kubwa ziwe na bendera ya taifa na chadema...na kwa nyuma ziwe na ujumbe mbali mbali kwa individual tshirt ili kila mwana chama au mvaaji awe na chaguo....
Mfano. tshirt yaweza kuandikwa wao wana hela sisi tuna mungu...nyingine ikaandikwa peoples power...n.k
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

Mie naunga mkono wazo hili ila ombi langu ziwe na quality ya hali ya juu.
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

Hivi unafikiri Hali tuliyonayo yawed kurekebishika kwa kuvaa T-Shirt, even CCM has T-Shirts lots of the them. Tunahitaji watt wazungumzie kufanya kazi, kuacha uvivu na umahili wa kukosoa tu, show what you can do not T-Shirts!!
 
Wewe, acha hizo. Sisi wengine ni ma role model. Kila tunachofanya lazima tuambukize wengine. Wewe pigana kwa mazungumzo, nasi tutapigana kwa awareness. Vita ni Vita Muraaa!
 
Iende kwenye jukwaa la biashara, siyo siasa hii ni business perse...

Isome vizuri, thread haiongelei biashara.
Lengo si kugenerate ngawira bali kuendeleza na kukomaza wazo ili 2015 ngoma iwe nzito zaidi.
hata wewe kama unapendekezo la kutengeneza T shirt za Kikwete Lipumba au Mgombea mwingine yeypte anzisha thread your fellow Dougs will support you.
 
Hivi unafikiri Hali tuliyonayo yawed kurekebishika kwa kuvaa T-Shirt, even CCM has T-Shirts lots of the them. Tunahitaji watt wazungumzie kufanya kazi, kuacha uvivu na umahili wa kukosoa tu, show what you can do not T-Shirts!!

T shirt za CCM zinagawiwa bure tena kwa masharti. Hizi za CDM zitauzwa kwa reasonable price. Kwa mfano ukinunua mbili moja ya kwako na nyingine ya kumvarisha mbwa wako,mbwa wako hatauwawa kama baadhi ya mbwa waliouliwa kwa kuvarishwa Tshirt za CCM.

Ndoto huzaa wazo, wazo huzaa nia, nia hugeuka kitendo na kuitimiliza ndoto.
Kwa ideology yako ndoto ni ndoto na vitendo ni vitendo, Kwako maono hayana uhusiano na mambo yaendeleayo kila siku kufanya kazi bila faida kujua kwako ni kiini cha maendeleo.
Katika dunia yako vitendo ni jambo muhimu kuliko wazo bunifu.Kukaa chini na kubrain storm ili kupata wazo nyofu na mwanana ni kuchezea bure wakti na kuendeleza uvivu. Kwa kuzingatia hoja yako sasa nimejua kwa nini kiongozi mkuu wa nchi Hajui kwa nini Tanzania ni masikini, mambo mengi ya kitaifa yamegeuka zigo kubwa la kuwalemea waTanzania kwa sababu yanafanywa kwa kukurupuka.

Hapo penye ukijani umenipoteza kidogo kuna neno umeacha au mimi ndo sielewi? kuuliza si ujinga.
 
CUF, CCM na vyama vingine wote wanazo tokea miaka kumi ilyo pita !!! Chadema mpaka leo hawana !!!, kweli chadema ni chama kinachoongozwa na Mbumbumbu

Kinaonyesha ni chama kisicho na wabunifu, kinaongozwa na viongozi waliopandikizwa kwa ukabila na udini, timu yangu ya mpira na ngoma za kienyeji kijijini kwangu wanazo fulani kama hizi kwa miaka mingi.
 
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.

Ujumbe mkubwa mgongoni usomeke 'KATAA UFISADI, KATAA UCHAKACHUAJI, UNGA MKONO HARAKATI ZA KATIBA MPYA Kwa ustawi na Mshikamano wa Taifa letu.
 
Naunga mkono wazo, kwa mbele picha ya Slaa kwa nyuma 'Wao wana pesa sisi tuna Mungu' italipa sana anaobeza waachwe kama walivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom