T.I.O.B Members

Fabolous

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
2,509
2,695
Nimejiunga na TIOB (Tanzania Institute of Bankers) hivi karibuni nategemea kufanya mitihani mwezi May mwaka huu naomba Great Thinkers ambao ni wanachama wa TIOB au wale waliopitia hii mitihani mbinu za kufaulu vizuri. natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom