T.H.T wapata deal ya kushiriki American Idol...yoo

huyu dogo hana ajualo zaidi ya tetesi na kujifanya mkali!mbaya zaidi anajaribu kucopy swagga za watu kisa figganigga kala shavu kwa neno mia kwa kila mwisho wa sentensi nacho kinataka kuibuka eti kila mwisho wa sentence..yoo!mshamba hujulikana hata kwa maandishi!

Wewe cameron ucntafutie ban bure..kawauzie sura mambwigila mbwigila wenzio..Et unajiita muuza sura!!!. Khaaa!inaonesha kabsa kama we ni wa Ntwara..nahc ulkua unajiona bitoz..afu watu wakawa hawakuit muuza sura ndo ukaamua kujiita hvyo....nmeanza ku2mia yoo tangu bdo ukienda chooni unaita 'taaayaaariii' waje kukuchamba...yoo
 
Baada ya kushiriki katka sherehe ya bibie Laula Bush na kupata kukutana na wadau mbalimbali..
Wasaníi wa T.H.T wamepata bahati ya kushiriki kwenye mashindano makubwa kuliko yote dunian ya kusaka vipaji American Idol yanayoendeshwa na Simon Philemon Cowel...
Ambapo kwa sasa Meneja wao bwana Ruge Mutahaba yupo kwenye mazungumzo na Simon Philemon Cowel katka mchakato huo wa mashndano hayo ambayo yamewatoa wasanii wakubwa km J.Lopez,John Legend,Janet Jackson n.k..
Vilevile pia T.H.T wamepata fursa ya kwenda New York Marekan kila baada ya miez 6 wakiwa kama mabalozi wa Malaria wakiongozwa na balozi wao mkuu Farid kubanda a.k.a Fid Q...
Hii ni taarifa nzur kwa watanzania wapenda burudani kwan tutajckia furaha kama Linah akiwa katka levo kam za J.JACKSON au J.Lopez..au barnaba kuwa km John Legend...yoo
nikiona sentensi imeishia na YOO sijisumbui.
 
Laula = Laura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom