T.H.T wapata deal ya kushiriki American Idol...yoo

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Baada ya kushiriki katka sherehe ya bibie Laula Bush na kupata kukutana na wadau mbalimbali..
Wasaníi wa T.H.T wamepata bahati ya kushiriki kwenye mashindano makubwa kuliko yote dunian ya kusaka vipaji American Idol yanayoendeshwa na Simon Philemon Cowel...
Ambapo kwa sasa Meneja wao bwana Ruge Mutahaba yupo kwenye mazungumzo na Simon Philemon Cowel katka mchakato huo wa mashndano hayo ambayo yamewatoa wasanii wakubwa km J.Lopez,John Legend,Janet Jackson n.k..
Vilevile pia T.H.T wamepata fursa ya kwenda New York Marekan kila baada ya miez 6 wakiwa kama mabalozi wa Malaria wakiongozwa na balozi wao mkuu Farid kubanda a.k.a Fid Q...
Hii ni taarifa nzur kwa watanzania wapenda burudani kwan tutajckia furaha kama Linah akiwa katka levo kam za J.JACKSON au J.Lopez..au barnaba kuwa km John Legend...yoo
 
Teh teh ndoto za mrisho ngasa zimeibuka kwa style nyingne bora samata na tp mazembe .kumbuka nothing can start from the top.wakitaka mafanikio waanzie kwenye mashindano ndani ya afrika watafika mbali uko ni kuuza nyago
 
Mmm fiksi nyingine bana hv zinawasaidia nn ?

Simon ana brand yake mpya, X factor na wala hayupo na hao Idol. Na sio kweli akina Janet J, au Jlo walipitia american idol....... !! Na Laula Bush ndiyo nani ?.....pambaf...

Baada ya kushiriki katka sherehe ya bibie Laula Bush na kupata kukutana na wadau mbalimbali..
Wasaníi wa T.H.T wamepata bahati ya kushiriki kwenye mashindano makubwa kuliko yote dunian ya kusaka vipaji American Idol yanayoendeshwa na Simon Philemon Cowel...
Ambapo kwa sasa Meneja wao bwana Ruge Mutahaba yupo kwenye mazungumzo na Simon Philemon Cowel katka mchakato huo wa mashndano hayo ambayo yamewatoa wasanii wakubwa km J.Lopez,John Legend,Janet Jackson n.k..
Vilevile pia T.H.T wamepata fursa ya kwenda New York Marekan kila baada ya miez 6 wakiwa kama mabalozi wa Malaria wakiongozwa na balozi wao mkuu Farid kubanda a.k.a Fid Q...
Hii ni taarifa nzur kwa watanzania wapenda burudani kwan tutajckia furaha kama Linah akiwa katka levo kam za J.JACKSON au J.Lopez..au barnaba kuwa km John Legend...yoo
 
khaaa kumbe mchakato mi nilijua wanaingia badilisha title bana weka ata tetesi sawa poster..
 
Mmm fiksi nyingine bana hv zinawasaidia nn ?

Simon ana brand yake mpya, X factor na wala hayupo na hao Idol. Na sio kweli akina Janet J, au Jlo walipitia american idol....... !! Na Laula Bush ndiyo nani ?.....pambaf...

Asante sana mkuu, mara nyingi watu wanaibuka na kutuFeed mambo yasiyokuwepo..
 
Fake....anajiita great thinker wakati anashindwa kuelewa kuwa American Idol ni kwa Americans only...is THT americans?
 
anacheza huyo... simon cowell yupo X-factor alishaondoka american idol

Simon cowell bado yupo American Idol acha kupotosha uma..Ngoja nikuwekee link ya you tube umuone simon mwnyewe akiongelea issue hiyo...yoo
 
na sauti zao za kubana acha kusifia ujinga ruge amewasaidia nini ngoja mwanaharakati sugu apambane watakula bata 2
 
Keep hating..wenzio wanakula bata tu mkwanja walioingza walvopga show ya mke wa bush...ni mara 10 ya mshahara wa huyo Sugu wenu...yoo
 
Hao THT wabaguzi wamemuacha "star" wao wa ku "dance" kwa ajili ya jina lake tu. Na yeye nikatika vijana waanzilishi wa hicho kikundi na ni "talented" hakuna ubishi. Na wanaokijuwa hicho kikundi wanaposoma hapa wanaelewa ni nani nnae muongelea.
 
huyu dogo hana ajualo zaidi ya tetesi na kujifanya mkali!mbaya zaidi anajaribu kucopy swagga za watu kisa figganigga kala shavu kwa neno mia kwa kila mwisho wa sentensi nacho kinataka kuibuka eti kila mwisho wa sentence..yoo!mshamba hujulikana hata kwa maandishi!
 
anacheza huyo... simon cowell yupo X-factor alishaondoka american idol
Achana na dogo anacheza huyu.
Cowell au Peirs Morgan hawa ni very arrogant Briton kwene showbiz na huyu mzushi alieleta hizi nyepesnyepes kutoka radio mbao za Kwa Mtogole inaonekana hajui hata high standards za hawa jamaa. Sidhani kaa mtu kaa Cowell anaeza akaallocate hata dk 1 kusikiza ofa feki za mapromota feki wa hao talentless THT..lolz
 
Simon cowell bado yupo American Idol acha kupotosha uma..Ngoja nikuwekee link ya you tube umuone simon mwnyewe akiongelea issue hiyo...yoo
Unaangalia ya mwaka huu au mwaka jana?? thanks

Nijuavyo mimi Simon is an x-factor judge na jana amepeleka all his three artistes to the next phase together with Nicole and LA Reid, Paula Abdul lost one group

Thanks anyway for following the link below

http://www.americanidol.com/about/judges/
 
Achana na dogo anacheza huyu.
Cowell au Peirs Morgan hawa ni very arrogant Briton kwene showbiz na huyu mzushi alieleta hizi nyepesnyepes kutoka radio mbao za Kwa Mtogole inaonekana hajui hata high standards za hawa jamaa. Sidhani kaa mtu kaa Cowell anaeza akaallocate hata dk 1 kusikiza ofa feki za mapromota feki wa hao talentless THT..lolz
...........and his name is great thinker... i would call the dude great stinker
 
Ha haaa watu kwa uzushi unadhani Amercan idol BSS eeeh. Unadhani Simon ni yule Madam Rita anaeingia kalewa ovyo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom