Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,859
- 1,301
Maskini sitta! Tunapaswa kukulaumu sana wewe maana tuliwakamata kooni wewe ukawa mnyonge ukawaachia! sasa unalia sisi tufanyeje. Ulituuza na sasa baada ya kupoteza uspika ndipo unaona madhara ya uliyofanya? Unakuwa kama Mkapa - aliuza viwanda akikaidi maoni yetu baada ya kutoka madarakani akasema - ningejua!; tulimweleza ufisadi umekithiri akajibu - mna wivu wa kike; tulimdai katiba mpya akakataa - leo anasema naye katiba mpya ni muhimu! Na kikwete akitoka madarakati atasema kweli mafisadi wameimaliza nchi ningejua......!
MMetuchosha, mnapokuwa madarakani msilewe, mtusikilize
MMetuchosha, mnapokuwa madarakani msilewe, mtusikilize