T.C.R.A Wanatumaliza; TiGO Nao Wanatunyofoa Ngozi, Chukua HATUA

Karibuni Vodacom

Hao voda nao wanaboa sana nina siku ya tatu leo tangu ninunue luku kwa M-PESA. Umeme sijapata na hela wameshalamba. Nawapigia huduma kwa wateja naambiwa simu yangu haiwezi kuungganishwa kwa mtoa ushauri labda nitume sms kwanda namba 100 nieleze shida yangu. Nimeshatuma sms mbili hazina majibu Tshs.12'000/= wamezilamba wangese kweli!
 
Ni kweli!Nime note hiyo kitu.Ipo haja ya ku wa discipline tiGO.Wanatuibia wamebaki kutuimbia MINAMBA tu kwenye matangazo!,,,Utawasikia mala ,,,nyota moja nne nane nyota sifuri moja reli,,,wizi mtupu!
 
TCRA wako busy kufanya ufisadi kuwa mabillionea, tigo wanatunyofoa ngozi. jamani tuchukue hatua. Tunawaomba wataalam wa IT watengeneze email pamoja na mass SMS ili kususia huduma za tigo tarehe 15/11/2011. Hawa watu wezi sana. Sasa hivi ukiweka Tsh 10,000 kabla ya siku imeisha na hakuna simu yoyote ya maana unayopiga. Yaani hiyo ni tigo kwa tigo. Wazalendo wengine tusambaze huu ujumbe kwenye mitandao yote na social netowrks, tweeter na facebook. Siku moja tukiwaadhibu watasalimu amri.Tushirikiane. Ukiwa na namba yao, siku hiyo usijaze voucher wala kupiga simu kutumia TIGO. Next watakuwa ni Vodacom. Jamani sambazeni habari

Siku moja? Mi nasema ikiwezekana wiki nzima!
 
yaani inauma saana. ila mi nadhan wataalam wa it wangetupia virus kwenye system za tigo network yao ipotee kwa wik kama 1 hv,itakaporudi watu wote tutakua tumesha hama.kwanza network yao mbovu,mtu mpaka umpigie mara 3 ndo umpate,na utaratibu mwingine wa ujumbe wa sauti wanatukata hata kabla cjaamua kutuma ujumbe wa sauti.dawa yao ni kuwawekea vrus kwenye system basi.
 
officially kuanzia leo namba yao situmii tena na nimerudisha kwa wakala wa karibu na mimi.
Wako wapi TTCL?
 
Katika kampuni za mawasiliano, tiGO wameonyesha wizi wa wazi kabisa hata wale ambao huwa wanaelewa kupiga tu, wamewashtukia kwamba wanaiba. Lakini kwa upande mwingine TCRA wapo wapi..? Wanatakiwa kudhibiti na kusimamia uwiano sawa wa haya makampuni katika utoaji wa huduma.
 
Kama watu wote kwa umoja wao wakiamua kuzishikisha adabu hizi kampuni za simu, watumiaji tungeheshimiwa na wizi ungekoma.
Si tigo wala vodacom. Kote huko ni wizi mtupu. Tena tigo ndio wamekuwa hovyo kabisa, wanaiba hadi mtu unashindwa kuamini unachokiona.
 
kina paw
invisible
maxene
pain killer
hawa si ma it?

yaani inauma saana. ila mi nadhan wataalam wa it wangetupia virus kwenye system za tigo network yao ipotee kwa wik kama 1 hv,itakaporudi watu wote tutakua tumesha hama.kwanza network yao mbovu,mtu mpaka umpigie mara 3 ndo umpate,na utaratibu mwingine wa ujumbe wa sauti wanatukata hata kabla cjaamua kutuma ujumbe wa sauti.dawa yao ni kuwawekea vrus kwenye system basi.
 
TCRA wako busy kufanya ufisadi kuwa mabillionea, tigo wanatunyofoa ngozi. jamani tuchukue hatua. Tunawaomba wataalam wa IT watengeneze email pamoja na mass SMS ili kususia huduma za tigo tarehe 15/11/2011. Hawa watu wezi sana. Sasa hivi ukiweka Tsh 10,000 kabla ya siku imeisha na hakuna simu yoyote ya maana unayopiga. Yaani hiyo ni tigo kwa tigo. Wazalendo wengine tusambaze huu ujumbe kwenye mitandao yote na social netowrks, tweeter na facebook. Siku moja tukiwaadhibu watasalimu amri.Tushirikiane. Ukiwa na namba yao, siku hiyo usijaze voucher wala kupiga simu kutumia TIGO. Next watakuwa ni Vodacom. Jamani sambazeni habari. Ukiwa na ndugu kijijini wataarifu, hawa ndo wasaliti wakubwa...hata JK wao ndo waliompigia Kura....Tarehe 15/11/2011 Sambaza ujumbe
hamia airtel
 
Mimi mbona tayari nilishaitikia wito tangu siku ya kwanza tu ulipotoa hii rai maana wameshatula sana, kwasasa mimi ni Airtel naEpiq National kwenda mbele yaani huku hakuna longolongo wala kuibiana vocha. Nitarudi tu wakikiri ukweli na kurejesha walichojitwalia bila makubaliano
 
nadhani ni staff wamechoka na jambo fulani huko. Na yule mbando si alikacha huko na sasa yuko celtel? Hamieni voda na airtel
 
TCRA wako busy kufanya ufisadi kuwa mabillionea, tigo wanatunyofoa ngozi. jamani tuchukue hatua. Tunawaomba wataalam wa IT watengeneze email pamoja na mass SMS ili kususia huduma za tigo tarehe 15/11/2011. Hawa watu wezi sana. Sasa hivi ukiweka Tsh 10,000 kabla ya siku imeisha na hakuna simu yoyote ya maana unayopiga. Yaani hiyo ni tigo kwa tigo. Wazalendo wengine tusambaze huu ujumbe kwenye mitandao yote na social netowrks, tweeter na facebook. Siku moja tukiwaadhibu watasalimu amri.Tushirikiane. Ukiwa na namba yao, siku hiyo usijaze voucher wala kupiga simu kutumia TIGO. Next watakuwa ni Vodacom. Jamani sambazeni habari. Ukiwa na ndugu kijijini wataarifu, hawa ndo wasaliti wakubwa...hata JK wao ndo waliompigia Kura....Tarehe 15/11/2011 Sambaza ujumbe

Hata mimi naumia sana na hawa TIGO, yaani wanatuibia waziwazi hata aibu hawana na hiyo TCRA ndiyo uozo mtupu wao kazi yao kuiba tuuu pesa..eti kusomesha watu watatu (3) per year wanatumia 2.2 Billions,,,sasa watakuwa na muda wa kuanza kutusaidia sisi maskini???? Ni bora kuhamia Airtel......huko napata Modem na Line Mpya ya Airtel tena naenda kununua kesho pale Mlimani city!!!
 
I do cöndem ths tiGO leo wameniibia 2000 wt in 5min n ckuelewa kinachoendelea ni nn..ukitafuta huduma unakutana nalisauti lakihuni..dem thn u thives tigo..
 
Lazma tuwaonyeshe umuhimu wetu kwao. Nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom