WaTuruki mbona siku nyingi nivibaraka wa Wa Kimarekani, Waturuki wanataka kuingia Ulaya katika Fikira zao wakimsikiliza Marekani ataweza kuwasaidia waweze kujiunga na EU jumuia ya Ulaya Magharibi wako teyari kuwauza waaarabu ili Wamuunge mkono Marekani na wenzake Wazungu wa Ulaya Magharibi WaTuruki ni Wanafiki Wakubwa.Hawa waturuki sasa wamekuwa vibaraka kamili wa nchi za magharibi kwa waislamu wenzao.Inasikitisha sana.
Snipers wa US-NATO wanaua halafu western media wanasema raia wanauawa na askari wa serikali.
Waarabu wanamalizika kila nchi.Anayewauwa hawamuoni wala hawamjui.Jana Iraq na leo SYRIA.