Elections 2010 Synovate report(s)

Haionyeshi methodology, terms kama vile neutral, negative, positive ni vigumu kujua wamepimaje...briefly bila supporting document haieleweki zaidi ya kuguess kwamba TBC ilikuwa na hoja mbaya juu CHADEMA kuliko chombo kingine chochote.
 
yaaani kwa mara ya kwanza WaTz wanameamua kuziba masikio dhidi ya propaganda ya vyombo hivyo vya serikali hasa TBS dAILY NEWS NA HABARI LEO.
 
Haionyeshi methodology, terms kama vile neutral, negative, positive ni vigumu kujua wamepimaje...briefly bila supporting document haieleweki zaidi ya kuguess kwamba TBC ilikuwa na hoja mbaya juu CHADEMA kuliko chombo kingine chochote.

Mkuu hii ni kama report isiyo na maana yeyote usiende katika methodology utawaua bure wewe waulize nini malengo ya kufanya huu utafiti? Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kwamba walikuwa wanataka kutoa taarifa ya coverage ya vyombo vya habari kipindi hiki cha uchaguzi. Sasa swali linakuja kwanini basi wanagusa swala la uchaguzi instead of kusema coverage ya vyama tu pasina kusema kuhusu uchaguzi? Kwasababu kama motivation ni coverage ya vyama vya siasa wangelisema tu CCM ilitangazwa masaa haya, CUF masaa yale na Chadema masaa hayo wakati wa uzinduzi wa uchaguzi na sio ufahamu wa wapiga kura wakati wa uchaguzi hiyo ni moja ya contradictions katika hii report.
 
Nguvumali, don't make me to laugh all day long, nimeipenda hiiii, yaaaaaaaaaaaaaani, jamani ukitaka raha ipo JF, wow, SYNOVATE hovyo, wababaishaji, DR Slaa kawakamata vizuri, wapowapo tu sasa hawajui cha kufanya, UTAFITI WAO ZEROOOOOOOOOOOOOO, you know why..? bcos CHANGE is coming soon, wamepwayaaaa, RD kawaambia waende court, sasa hivi hawaamini, SYNOVATE, wanajuta, AIBUUUUUUUUUUUU. afadhali huyu mbuzi anaakili kuliko wao
 
Synovate kwa kiswahili ni Si Inovative.

Pumba tupu.

Maelezo mengi kama mahubiri.

Day 31 will tell the truth.
 
Nimeisoma report nzima huu si utafiti ni makala kama makala za waandishi wa habari, walichofanya ni kurekodi data za magazeti yaliyouzwa na kuziweka kwenye Histogram kitu ambacho hata darasa la saba anaweza kufanya. Mtu yeyote mwenye taaluma ya utafiti anaweza kuona upuuzi tuliowekewa, hiyo ni habari ya matukio kama tunavyoweza kuambiwa Kibaha inaongoza kwa ajari za barabarani huwezi kusema huo ni utafiti.
 
Wandugu ambao hawawezi kufungua wanahitaji kuwa na Acrobat Reader 9 and above
 
Nimeisoma report nzima huu si utafiti ni makala kama makala za waandishi wa habari, walichofanya ni kurekodi data za magazeti yaliyouzwa na kuziweka kwenye Histogram kitu ambacho hata darasa la saba anaweza kufanya. Mtu yeyote mwenye taaluma ya utafiti anaweza kuona upuuzi tuliowekewa, hiyo ni habari ya matukio kama tunavyoweza kuambiwa Kibaha inaongoza kwa ajari za barabarani huwezi kusema huo ni utafiti.

Nakubaliana na wewe. Hiyo inaitwa observation na mfuatiliaji anaitwa Mwangalizi (Observer).
 
Mlimbwende JK ndiye aliyewashinikiza SYnovate wasitoe matokeo kwani atakapokuja kuchakachua matokeo aweze kuaminika ya kuwa alishinda wakati alishindwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kama kuna mtu anahiyo report ya synovate iliyochakachuliwa na source inayoeleweka tafadhali aiweke hapa watu tuichambue, sio tunacomment kwa habari za kuambiwa zisizokuwa na chanzo cha kueleweka, sitegemei JF kwenye vichwa makini na intelligence ya nguvu tutaendelea kupoteza muda kudiscuss uvumi sijui synovate wamechakachua sijui nini bila uthibitisho, badala ya kuianika hapa riport tuichambue. No data no right to speak. bora tuendelee kuwahamasisha waTZ wampigie Dr slaa kuliko kupoteza muda kwa habari za uvumi ambazo hazitatusaidia, wakati oct 31 is arround.
 
Sijui kwanini synovate haitoi tathmini kama zile za uchaguzi wa Kenya!!!!!! Pamoja na kwamba rais Kibaki alikuwa madarakani kabla ya uchaguzi mkuu wa kenya, bado synovate walikuwa na ujasiri wa kuandika maoni kwa uwazi kuwa Odinga alikuwa anakubalika zaidi ya Kibaki!!!!! Ila kwa upande wa Tanzania sijui CCM imewatisha nini.....Hata report inayoonyesha Dr Slaa anakubalika zaidi ya JK wanaogopa kuitoa hadharani...wametishwa na CCM kuwa wasithubutu la sivyo kiama kitawaangukia!!!!! Masikini synovate wamesahau ethics & professionalism katika kazi yao....ili kui-favour CCM na JK wake.

Shame on you synovate.....bora muondoke TZ....mnaweza kutuharibia nchi kwa report zilizochakachuliwa!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom