Symbions

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Ma great thinker wenzangu hivi hizi tetesi ya kwamba mkataba wa awali kati ya Tanesco na Symbions ulisainiwa mwaka jana mwezi wa 10 (October-2010). Jamani kuna ukweli wowote hapo juu ya hilo? Kama ukweli upo je zile pesa zaidi ya bilioni 70 ilikuwa alipwe nani wakati wameshauziana mitambo? Kama hilo limetokea wa kuwajibishwa ni nani hapo? Manake mkataba wao wanasema ni siri kwa mujibu wa Menejimenti ya Symbions kitu ambacho kinanitia wasi wasi.......Nawakilisha hoja wadau......
 
Hizi tetesi kama zinaukweli ni hatari kuliko nilivyodhani. Ila hapo kwenye nyekundu, mkuu umechapia. Ni vema ukawasilisha!
 
Symbion wamekuwapo nchini wakifanya shughuli zingine kama kujenga transmission lines, substations na power stations. Kwahiyo wao kusaini mkataba na TANESCO toka mwaka jana inawezekana sana, lakini sio mkataba wa kuhuisha Dowans.
 
Back
Top Bottom