Symbion Power: Intelligence watupu

wameona huko kwenye madini na gesi mmejifanya mmegutuka sasa wamekuja kwenye huduma, hapo ndipo hatutoki kabisaa naona soon Tanesco inavunjwa.
 
Kwanza huyu Lord Richard Westbury ni Mwingereza lakini he has had a very colourful career kama ambavyo profile yake ya kule Symbion inavyosema:

richard-westbury.jpg


Chairman Symbion Power Holdings

Lord Richard Westbury MBE
Lord Westbury had a distinguished military career as an Officer in the Scotts Guards and for the British Special Air Services (SAS). A pioneer of the security industry, Lord Westbury was formerly the Deputy Chief Executive of The Leadership Trust and the Chief Executive Officer of Defense Systems Limited (DSL), one of the earliest and most successful international security companies headquartered in London. He is the founder and chairman of Hart Security.

Chief Executive Officerhttp://www.hartsecurity.com/aboutus_whoweare.asp

Sasa tunamove on kwa no 2 :

Paul Hinks

paul-hinks.jpg


Founder Paul Hinks is the driving force behind the company. He has spent his life in the power industry where he has been responsible for the construction of power plants, transmission lines and substations. His career spans 30 years and in that period, he has worked in the USA, Africa, the Middle East and Asia. Since 2003Paul has been at the forefront of US wartime contracting efforts. Paul is a member of the Bretton Woods Committee and serves on the Board of Directors of the Corporate Council on Africa.



Lakini the most interesting of them all ni huyu....na hasa baada ya kuona jina lake nikajiuliza inamaana Valerie Palme alikuwa Dar jana?

joseph-wilson.jpg


Chairman, Symbion Power Africa

Ambassador (ret.) Joseph Wilson
Ambassador (ret.) Joseph Wilson serves as the Chairman of Symbion Power, Africa. Ambassador Wilson has extensive experience in Africa, the Middle East, and Europe. As an American diplomat, he served as Ambassador to Gabon and Sao Tome and Principe in the administrations of Presidents George H.W. Bush and Bill Clinton. He also served as Special Assistant to President Clinton in charge of African Affairs at the national Security Council. In addition to Gabon and Sao Tome and Principe, Ambassador Wilson also served in Niger, Togo, South Africa, Burundi, and Congo (Brazzaville).

Hiyo ndio Profile iliopo Public lakini ukweli ni kuwa :

Jamaa ndio yulee wa ile YELLOW CAKE ya NIGER kama mnakumbuka in the run up to Iraq war enzi za Bush.....

Joseph Charles Wilson IV (born November 6, 1949) is a former United States diplomat best known for his 2002 trip to
Niger to investigate allegations thatSaddam Hussein was attempting to purchase yellowcake uranium; his New York Times op ed piece, "What I Didn't Find in Africa";[SUP][1][/SUP] and the subsequent "outing" of his wife Valerie Plame as a CIA agent.He is the CEO of his own consulting firm, JC Wilson International Ventures. In January 2007, Wilson joined Jarch Capital, LLC, as vice chairman.
Joseph C. Wilson - Wikipedia, the free encyclopedia

Ukitaka kuenjoy zaidi soma hiki kitabu :

28246262.jpg



then tazama hii movie ya Sean Penn...mkitaka download links semeni tuu

Fair-Game-poster.jpg





So technically Mwanaidi alichokifanya ni kutuletea watu ambao I'm sure Lowassa na Rostam hawawezi maana hawa jamaa ni ligi nyingine kabisaaaaaa

That said, sioni taabu kwa nini wasitatue tatizo letu la umeme...kama sheria za nchi zimefuatwa

Habari ndio hizo





Kweli nimeamini IPTL wanaonewa

kama wakumulikwa ni hawa na sio IPTL
 
Last edited by a moderator:
Nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia maswala ya IPTL na Richmond/Symbion.
Kutoka kwa jamaa wa usalama wa taifa ambae anafanya kazi ikulu amenipa ukweli kuhusu mmiliki wa IPTL, Dowans, Richmond/Symbion.

Ukweli ni kwamba IPTL na Richmond ambayo kwa sasa ni Symbion zinamilikiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali. Viongozi wa juu akiwemo kiongozi wa juu kabisa (jina limehifadhiwa) ndiyo wanaomiliki haya makampuni. Seth na mmiliki wa VIP ndugu Rugemalila ni kama mawakala tu lakini wala si wamiliki halali wa makampuni haya. Mtoa habari ameniambia mashine hizo zilinunuliwa kwa kodi za wananchi, kwa kupitia miradi hii viongozi wa juu wa serikali wamejivunia mabilioni ya pesa tangu miaka 90.

Ameniambia kuwa mashine hizi unufaisha takribani viongozi 72 moja kwa moja akiwemo waziri mmoja aliejiuzuru. Kuna viongozi wa ngazi za chini wenye influence au wenye kujua habari hizi wakiwemo usalama wa taifa upewa mgao kidogo ili kuwanyamazisha, pia utumiwa kwenye kampein za uchaguzi. Aidha wale wasiopewa mgao ndio vinara wa kutoa nyaraka za siri na kuwapa wapinzani.

Jamaa anasema, baada ya kugundulika kuwa Richmond haina mmiliki pale ambapo Mwakyembe alipokuta Marekani hakuna Kampuni inayoitwa Richmond , viongozi wa juu walimfuata mwanaume mwenye asili ya Asia wakampa milioni 800 ili ajifanye kuwa yeye ndie mmiliki wa Richmond, lakini huyo mmiliki alikataa kabisa kupigwa picha alipokuja nchini, alihofia sura yake ingeonekana ingekuwa ni hatari sana nchini kwake. Aliefanya mchakato mzima wa kutafuta mmiliki fake wa Richmond ambayo kwa sasa ni Symbion ni Rostam aziz. Mpaka sasa Symbion inadai deni lenye utata la zaidi ya dola milioni 100, wakati ukifika zitalipwa

Mtonyaji anasema, ili kupata njia rahisi ya kukwapua pesa za IPTL, viongozi walizua kesi fake ili kupitia wakili fake waweze kulipana hizo pesa. Wakili aliechaguliwa ni Mkono. Mkono amepewa jumla ya bilioni 60 na kitu kwa ajili ya kesi, fedha hii ni nyingi sana, lakini kutoka kwenye fedha hizo yeye alikuwa anachukua kiasi na baadhi anawapa wakubwa serikalini. Inasemekana mgao wa fedha za makampuni haya ni mkubwa sana kiasi kwamba wengi wamehamua kufungua account nje ya nchi hasa kwa kutumia majina ya watoto wao, majina yanatumika ni yale ya kikabila/kinyumbani kiasi kwamba uwezi kuwatambua kirahisi.

Kwa hiyo wadau; IPTL na Symbion, Dowans ni changa la macho, zinamilikiwa na viongozi serikalini. Kuna document nazisubiri, nitazitupia hapa
 
Huo ndo ukweli wenyewe lakini ukeficha jina tunabaki palepale,weka majina wazi,hata huyo aliekwambia hakukuficha kitu.
 
Back
Top Bottom