Syllabus za biology,chemistry na Agriculture science "A" level.

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Wadau nawasalimu! Naomba mnisaidie kujua syllabuses za chemistry,biology na agriculture kwa A level.
Natanguliza shukrani.
 
kwa nini vitu kama hivi visiwekwe kwenye website ya wizara, ili kila mmoja mwenye kuhitaji aweze kuzipata huko, kuna uwezekano mkubwa syllabus inayotumiwa na shule nyingi sio ya sasa, then wanafunzi wakifeli lawama zinaanza, haya mambo yote ni muhimu kwa mwanafunzi kufanya vzr mitihani yake.
 
Au kama vipi naomba hata majina ya topics za A level kwa masomo hayo.
 
Labda sasa kuna mabadiliko lakini sisi kwenye Chemistry tulikuwa na physical chemistry,general chemistry na organic chemistry na practicals.Humo ndani kuna vi subtopic ambavyo siwezi kuvikumbuka vyote.
Biology tulikuwa na classification(ile mikate,nadhani ilikuwa inakatwa form 5),physiology,zile genetics,evolution na diseases kama HIV/AIDS,malaria,typhoid,cholera etc pamoja na practicals za kupasua mende,panya,vyura nk
Sijui wadau wa agriculture walikuwa na nini..
 
PHYSICS KUNA
Errors n dimensions
*Mechanics
*heat
Wave
Electronics
Magnetism
Current electricity+static electricity
Geophysics
Modern physics
ac
CHEMISTRY KUNA
General chem
states of matter
Thermo chem
Chemical kinetics
Chemical equilbrium
Electro chem
Environmental chem
Soil chem
Organic
Inorganic

BIOLOGY KUNA
cytology
Biochemistry
Transport
Nutrition
Genetics
Coordination
Evolution
Excretion and homeistasis
Reproduction
Classification
HIZO NI KWA THEORY MKUU NA LABDA KUNA NILIZOZISAHAU WAKUBWA WATAONGEZEA.
 
Chemistry practicals
Energetics
Chemical kinetics
Partition
Titration
Qualitative analysis

Bwa mdogo kila part apo juu ina visubpart vyake hahaha i love Chemistry..

Agriculture sasa hii asee ndo habari ya mujin maana ina topic bweleleee lakin zimegawanyika katika makund manne

Crop science
Livestock science
Agromechanics
Rural economics
haa nataka nisahau tena kuna na
Soil science

tuanze branch moja moja sasa..
Crop science
1.Entomology
2.Weed science
3.Plant breeding
4.Plant diseases
kuna nyingnezo lakn zimentoka

asee na2mia cmu na dolegumba langu limechoka nikipata muda ntamalizia izo nyingine maana nazo zina vibranch kama sitasita iv..dah agrculture ni kwere lakin ts an interestn n easy subject if u love it..
 
Nenda duka la vitabu lililo kariu nawe na ununue syllabus za hayo masomo.Kujua topics pekee hakutakusaibia kwakuwa hutajua how deep unatakiwa kujisomea topic husika.Ulizia syllabus za mwaka 2010 ndizo zinatumika sasa.
 
B
Labda sasa kuna mabadiliko lakini sisi kwenye Chemistry tulikuwa na physical chemistry,general chemistry na organic chemistry na practicals.Humo ndani kuna vi subtopic ambavyo siwezi kuvikumbuka vyote.
Biology tulikuwa na classification(ile mikate,nadhani ilikuwa inakatwa form 5),physiology,zile genetics,evolution na diseases kama HIV/AIDS,malaria,typhoid,cholera etc pamoja na practicals za kupasua mende,panya,vyura nk
Sijui wadau wa agriculture walikuwa na nini..

Ku down
load topic za agriculture y
a weed na irrigation

Back
Top Bottom