SWOT kwa kikwetu(Kiswahili) nambieni

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Katika njanja za planning wengi tunakutana na kifupisho hiki maarufu cha SWOT ikiwa na maana ya Strength, Weakness, Opportunity na Threat.
Sasa kwa lugha yetu kipenzi tunasemaje?

Wengi wamejaribu kupata kiswahili lakini hakuna muafaka.
Mimi kwa kufanyia kazi natumia NUFUVI kumaanisha Nguvu, Udhaifu, Fursa na Vikwazo/Vitisho
hii huwa inanisaidia na pia washiriki wangu wananielewa japo hua natamani kuwa na kiswahili rasmi kwa kifupisho cha SWOT

Nawakaribisha wadau mnisaidie, mkitilia maana ya phrase na siyo neno mojamoja
 
Back
Top Bottom