Swimming Pool ya Kwanza Manzese

Hiyo ni manzese au kwa mucha achani bonde la mpunga?.Hiyo ni kutokana na Mdosi mmoja kujenga ukuta kwenye eneo lake.
 
Madee tushamtoa kafara siku nyingi
Mie ndio Malkia wa Manseze, kuna waziri mkuu tu

Saa hivi Nzese hadi kuna supa maketi bwana, soseji na mazaga zaga yote yapo

Ila na miguu ya utumbo wa kuku bado upo

Kongosho, mlaumuni rais wenu Madee anayewafanya muendelee kuonewa
 
Back
Top Bottom