Swimming classes

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Natafuta sehemu wanapofundisha kuogelea kwa vijana miaka 13 mpaka 16 kwa Dar es salaam. Mwenye kujua tafadhari nijulishe. Ahsante
 
kweli wakuu baada ya tukio la spice islander naona watu wengi sana hapa Somalia wameanza kuchukua darasa la kuogelea.
 
Back
Top Bottom