Sweetlady

lakini sisi tulikuwa tunaelewana,kuna kidudu mtu hapa kimeingilia kati na ole wake nikijue

Ila wifi mie hicho kidudu mtu bado hakijafanikiwa kuniteka......nashangaa wewe umetoaje hiyo nafasi....nakupenda kama zamani wifi angu...
 
BADILI TABIA , mie wala siliwezi lol....amepita nyumbani jioni hii hajanambia yote haya anakuja kuyasemea huku khaaa....huyu nishamgundua ananitafutia ubaya afu akareport kwa kakake!....Najiweka pembeni mwaya.

wifi wifi mkatae shetani mweee,nimekufuma unazogoa na ricky unamtambia nimeachwa khaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom