Sweetlady

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Jamani wanajamvi naombeni mnijuze, hivi kipi kilijiri kipindi sipo?
Huyu mdada ni wifi yangu kabisaa na tulikua tunaiva.Leo nimerudi naona ananianzishia vijembe.Nisaidieni jamani lol
 
Wifi nani huyo kakujaza maneno ya uongo? ...kama sio Erickb52 ni BAGAH manake ndio zao.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom