Sweetlady sema neno moja tu na roho yangu itapona

Nimekusikia la'aziz,andaa na kiwanja kabisa,sera yangu nikimpenda mwanamke kwanza namtandika na nyumba mengine baadae,mimi ndo bishanga bana.

ile hela ya kodi ya nyumba uliyoniomba nikukopeshe nitakutumia nxt week.
 
Khaaa, swahiba utasutwa lol... Bwana aliamua kutoroka bila kuaga wacha moyo wangu niuelekeze kwa nitonye!

katika msuto naomba mkwe wangu asiwepo maana yeye peke yake anacover nafasi ya watu kumi. Ametoroka wakati we umemchinjia baharini. Dah, ngoja nisimwage mchele kwenye mijikuku mingi.
 
Swahiba nitafutie nitonye popote alipo, mwambie mie nipo hapa kwaajili yake aseme chochote!

Niko hapa dear fundi wangu anamalizia jumba langu maana najua unataka kupumzika mahala pazuri
 
katika msuto naomba mkwe wangu asiwepo maana yeye peke yake anacover nafasi ya watu kumi. Ametoroka wakati we umemchinjia baharini. Dah, ngoja nisimwage mchele kwenye mijikuku mingi.
Na wewe wajua ndie nnae mtegemea kwenye huo msuto hivyo jiandae...

Ntakutafuta unipe kwa kirefu nlivomchinjia baharini, wewe mwenyewe wajua kisu changu kilivo butu, hakikati hata nyanya!
 
Na wewe wajua ndie nnae mtegemea kwenye huo msuto hivyo jiandae...

Ntakutafuta unipe kwa kirefu nlivomchinjia baharini, wewe mwenyewe wajua kisu changu kilivo butu, hakikati hata nyanya!

haya swahiba. Namba zangu zile zile. Mapenzi yako na nitonye yadumu. Usikimbiwe kama mi nilivyokimbiwa na my baby uporoto.
 
Shosti nilifikiri ungeng'ata kucha kwanza kumbe! !!!! Haya Nitonye brada wifi huyo
BW wewe mwenyewe waona husninyo anavomkodolea macho nitonye, ning'ate kucha husni amchukue?.. Hang'ati mtu kucha hapa!

We mzima yakhe? Toka tupotezane ukumbini kwenye b'day ya Preta sijakuona tena!
 
Back
Top Bottom