Sweetlady naomba uvae lile gauni lako mda umefika

Sweetlady, mimi nilikuwa na bibi tu ananipa stori za aliflela ulela na Abunuwasi. Lakini nili enjoy pia.
Kikubwa ni kuenjoy Mau, kama ulienjoy poa bana! Kuna waliopelekwa mahoteli jana afu hawajaenjoy wewe umewapiga bao haswa!..

Msalimie bibi, mungu ampe maisha marefu zaidi ili Mau aendelee kufaidi!
 
Sweetlady, si unajua mjukuu ni mjukuu tu hata ukiwa mzee. Ilibidi nifanye hayo maamuzi magumu maana hakukuwa na dalili ya mafanikio.
Hahaha! Ungeendelea kusearch ungekutana na kongosho au husninyo, wote waliachwa kwenye mataa!..

Raha ukiwa mzee afu bibi bado yupo! Hongera kwa maamuzi magumu uliyoyafanya jana!
 
Hahaha! Ungeendelea kusearch ungekutana na kongosho au husninyo, wote waliachwa kwenye mataa!..

Raha ukiwa mzee afu bibi bado yupo! Hongera kwa maamuzi magumu uliyoyafanya jana!

Ah! tatizo HUsninyo ndio kamaliza form four! duh hapo JK anakupeleka miaka 30 bila huruma :hatari:

Kongosho nae hata hajaweka wazi ni she/he kaazi kweli kweli :photo:
 
Ah! tatizo HUsninyo ndio kamaliza form four! duh hapo JK anakupeleka miaka 30 bila huruma :hatari:

Kongosho nae hata hajaweka wazi ni she/he kaazi kweli kweli :photo:
Hahahaha! We muoga kumbe, basi kama hujui ni kwamba husninyo kamaliza form 4 ila sio under 18, yuko over 35, ushindwe mwenyewe!
 
Ooh, jamani honey nilisahau kukutambulisha bana, Rejao ni kakangu kabisa, usiwe na wivu nae hata akiniita dia usijali...

Ujue hili neno siku hizi ni utata mtupu kama vipi awe anakuita sista
 
Back
Top Bottom