Sweetlady naomba uvae lile gauni lako mda umefika

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
My sweety Sweetlady jitayarishe na uvae lile gauni lako mda umefika twende tukaisherekehe Valentine.
 
Haya sasa, kumekucha....wakubwa na makubwa yao!! Ila nahisi kama harufu ya Cookie ananyatia na rungu mkononi!!
 
usisahau na kile kitenge chekundu, kiatu chekundu, miwani miekundu, na gauni lile jekundu achana na lile jeupe fanya fasta maana saa sita mwisho wa valentine
 
Haya sasa, kumekucha....wakubwa na makubwa yao!! Ila nahisi kama harufu ya Cookie ananyatia na rungu mkononi!!
Unajuaje kama nitonye sio cookie kwa id ingine?...lol. Tulisherehekea kwa raha zetu! Vipi ulipata wa kukutoa?
 
Dah! Bro nahisi umechelewa sana
Wacha nikunong'oneze, si alinifuata mpaka home kuja kuniomba msamaha? Aliniletea na vijizawadi so nilimsamehe kwa moyo mkunjufu tukaendelea na maisha!..

Mau ulifanikiwa kutoka na uliyemchagua? Akija nitonye atakusimulia tulivojirusha!..nimemwacha bado kalala kwa uchovu!
 
Sweetlady, mimi nilikuwa na bibi tu ananipa stori za aliflela ulela na Abunuwasi. Lakini nili enjoy pia.
 
Sweetlady, si unajua mjukuu ni mjukuu tu hata ukiwa mzee. Ilibidi nifanye hayo maamuzi magumu maana hakukuwa na dalili ya mafanikio.
 
Back
Top Bottom