swali

km ni vo basi shughuli ni fup sana
mwte zungumza nae
ustake kupata mateso wakati suluhisho lipo
tok to him/her usijidanganye uliye nae sasa haumpend.period.
rud kwa yule kwa amani na furaha ..km kukosa kila mtu anakosa
mpe chansi msamehe mliendeleze mlpoishia......

akirudi tu ndio ategemee kutendwa zaidi ya alivyotendwa awali, yaani utakuwa umebeba msalaba ambao hujui pa kuushushia, tunaishi mara moja jamani, kwanini tutesane kihivyo? kaza roho jitahidi kumsahau na usonge na maisha yako mapya.
 
Alipokukosea hukumpatia nafasi ya kujirekebisha. Sasa unawaza kwamba pengine ungemsamehe na kumpa nafasi ya pili huenda angejirekebisha vizuri sana. Kosa ulilofanya tena ni kufanya maamuzi haraka na bila kumpatia nafasi ya kujirekebisha.

unajua hapa kuna watu ambao hawajui msamaha nini wao ni vinyongo tu kosea wewe wao ahaa wako sawa wakati wote sasa inakuwa ngumu kweli halafu unampenda ntu wa namna hii
 
ulikua na mapenzi ya dhati kwa mtu huyo, ulimwanacha angali unampenda! itakuchukua muda kumsahau na hii yataka juhudi zako mwenyewe kumfuta akilini

haswaa mom umenipata yule mtu ambae hata afanyeje unakuwa tayari kusamehe tu unaona kama ataelewa tu kumbe anakutumia tu
 
unajua hapa kuna watu ambao hawajui msamaha nini wao ni vinyongo tu kosea wewe wao ahaa wako sawa wakati wote sasa inakuwa ngumu kweli halafu unampenda ntu wa namna hii

:tonguez::tonguez:
 
Mimi juzi tu nimemwacha mtu lakini kamoyo kanamkumbukakumbuka ila najitahidi kupotezea ila kwa sasa nipo"SINGLE":tonguez:
hahahah hahah !! kaz kweli kweli!
single?even 100 is a single 100.
nawakilisha
 
Poole ndugu yangu, hiyo inatokea sana ila inategemea anajirudia mawazoni mwako kivipi? kwasababu mimi niliachana na mpenzi wangu wa zamani karibu miaka mitatu sasa, but kila wakati huwa ninamfikiria kwamba ni kwanini nilichelewa kumuacha yule mjinga na sikuungana mapema zaidi na huyu niliyenaye?:blah:
 
tangulia nakuja..uwe na panadol pia if nt ambulance nje cz u wl....gudmorning!!!!!!!

Asprin, thats my name........... pain killer. I will kill all your pains whatsoever.... twenzetu PM tukakamilishe logistics!
 
haswaa mom umenipata yule mtu ambae hata afanyeje unakuwa tayari kusamehe tu unaona kama ataelewa tu kumbe anakutumia tu

Umeshasema anakutumia halafu bado unaendelea kumpenda we una matatizo natamani ungekuwa karibu nikunase kibao kupenda gani huko? halafu kama walivyosema wengine tujulishe wewe ni ke/me labda ndio tutajua tukushaurije zaidi
 
wansema to love is only once, kwamba ni mmoja tu utakaye mpenda kwa dhati na wengine ni mazoea na uzushi tu. na true love ni kusamehe kuforget, yaani no matter anakutendea mabaya utampenda tu.

"A true love has no reason(s), but it is associated with unlimited, and unconditional forgiveness.....!" So, it is a type of craziness, and if you find reason(s) for love, then you love that feature(s), but not the one who hold it/them...!
 
Huyo mwanamke amekubikiri.
Yaani umeshindwa kabisa kumsahau.
Hata mimi ilinitokea, ilikuwa ngumu kufuta akilini mwangu zile moments nilizo share na mwanamke wangu wa kwanza
ivi watu wote huwa tunapenda kama mimi hata ukijaribu kumfuta kwenye akili masaa machache tena anakuwepo japo tumeachana na nipo kwenye penzi jingine halafu ukifikir sana mtu huyo huyo ameshakutenda ajabu lakini moyo wako bado upo kwake toeni uzoefu wenu tafadhali nipate kutulia
 
Huyo mwanamke amekubikiri.
Yaani umeshindwa kabisa kumsahau.
Hata mimi ilinitokea, ilikuwa ngumu kufuta akilini mwangu zile moments nilizo share na mwanamke wangu wa kwanza

Si useme tu ukweli kwamba mambo aliyokupa hujawahi kuyapata tena kwa mwanamke mwingine?
 
Huyo mwanamke amekubikiri.
Yaani umeshindwa kabisa kumsahau.
Hata mimi ilinitokea, ilikuwa ngumu kufuta akilini mwangu zile moments nilizo share na mwanamke wangu wa kwanza

Hilo neno nilikuwa sijalisikia muda mrefu
 
Poole ndugu yangu, hiyo inatokea sana ila inategemea anajirudia mawazoni mwako kivipi? kwasababu mimi niliachana na mpenzi wangu wa zamani karibu miaka mitatu sasa, but kila wakati huwa ninamfikiria kwamba ni kwanini nilichelewa kumuacha yule mjinga na sikuungana mapema zaidi na huyu niliyenaye?:blah:

kumbe hapo mwanzo milipokuwa nae, ulikubali mjinga awe anakutwanga na mtarimbo wake!iweje leo unamtusi hivyo??
 
aisee nafikiri naumwa mii ni HEE bwana

Aiseeeh! kumbe we ni kidume, sasa mbona unajiliza hivyo!sahau yaliyopita na maisha yasonge bana!mimi sana sana ninaoweza kuwakumbuka ni wale ambao niliwahi kuwatwanga kote kote
 
Back
Top Bottom