swali

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
Kama Umemkuta mume wako na Mama yako katika Mkao a kimahaba utafanya nini?
 
Kama Umemkuta mume wako na Mama yako katika Mkao a kimahaba utafanya nini?

nitachunguza chanzo cha mkao huo ni nini na umeanza lini then nitachukua hatua itakayokuwepo wakati huo
 
mama simama kwenye nafasi yako, ni lazima mumeo na mamako wajuwe mipaka yao, unavunja ukimya hapo, other wise mamako ataliwa na mkwewe!
 
Back
Top Bottom