Swali..!

Kipala said:
Samahani nikichangia bila lugha ipasavyo hapa.
Msamaha wako umekubaliwa.
Kipala said:
Je kile Libbre David ni nini?? Je ni sehemu ya Talmud?? Ni lugha gani?
Nilishasema siku nyingi sana kuwa ni Talmud na ni lugha ya Kiingereza ndiyo niliyoquote.
Nitafurahi sana ukikanusha kwa vielelezo kuwa hii siyo quotation ya Talmud wakati Makuhani wakutegemewa wa Kiyahudi hawaikanushi ila wanasema ni misquoted.
Kipala said:
Maana kwa njia ya kupiga google nimekuta madai eti nukuu hii ni uwongo mtupu hakuna sehemu kwa jina hili (au jina la kufanana) katika Talmudi popote duniani
Ahsante kwa kutuonyesha upeo wako wa ku google
Soma hii uone mwenzako anvyojaribu kui refute! hakatai kama hai exist!
The Talmud (Myths and Misquotes) - SkepticWiki

.....more to follow kaeni mkao wa kuliwa.
*"It is the law to kill anyone who denies the Torah. The Christians belong to the denying ones of the Torah." (- Coschen hamischpat 425 Hagah 425. 5)
 
Nitafurahi sana ukikanusha kwa vielelezo kuwa hii siyo quotation ya Talmud wakati Makuhani wakutegemewa wa Kiyahudi hawaikanushi ila wanasema ni misquoted.Ahsante kwa kutuonyesha upeo wako wa ku google
Soma hii uone mwenzako anvyojaribu kui refute! hakatai kama hai exist!
The Talmud (Myths and Misquotes) - SkepticWiki

a) Huwezi kumwonyesha hata "kuhani" 1 wa Uyahudi anayesema unavyodai. Hayuko – vile kitabu "Libbre David" hakipo
b) unaleta hapa tovuti ya uwongo maana unadai kinyume cha kile kinachoandikwa humo waziwazi:
Website hii inasema:
12. "To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if the goyim knew what we teach about them they would kill us openly." (Libbre David: 37 - All of these misquotations and others are corrected and refuted further below.

Ukiendelea "further below" unakuta:
Correcting the misquotes; Part 1 - SkepticWiki.
"To communicate anything to a goy about our religious relations would be equal to the killing of all Jews, for if the goyim knew what we teach about them they would kill us openly." - Libbre David: 37
This is a fabrication. There is no such book and no such quote. There is also internal evidence that this is a fabrication – no such book exists in the Talmud or in the entire Jewish literature."

Sasa sijui kama hujui kusoma au nini? Hii site unayorejea inasema wazi: kitabu hiki hakipo. Kama ungeweza kusoma Talmud yenyewe ungeijua pia.
 
Lol! na huyu naye anasemaje mkuu?:
"While it is possible that the book Libbre David existed I have not been able to find it, even with the help of a librarian from Yeshiva University's Gottesman Library. It was certainly never a mainstream book"
http://www.angelfire.com/mt/talmud/lie.html
Hakatai, anasema inawezekana ila yeye hajawahi kukiona mbeleni anatuambia kuwa kiliuwa siyo mainstream book, yaani kilikuwapo lakini siyo maonstream book!
Kaazi kweli kweli.
Na tuttegemee nini kutoka kwa watu kama hawa?
Baba Kamma 113a. Jews may use lies ("subterfuges") to circumvent a Gentile.
 
sideeq wahangaika,kutuletea porojo
kitu moja nakuomba, mwezi utakapoanza
sisahau kunambia,uniungishe magimbi
mihogo na nyanyachungu,bila sahau mbatata

takuuzia bei cheee,ili uchukue vingi
ushindilie kwa daku,usiku kucha bugia
changanya changanya vitu,kwenye ilo tumbo moja
asubuhi kuinama ili uswali vizuri

sipati picha ikoje,kwenye icho chumba chenu
cha kuswalia mtume,kwani wengi huinama
matumbo yakishajaaa, kwa daku la jana yake
utapata magensium,upunguze kuvimbiwaaaa
 
Unajikunjakunja kama mnyoo juani! Bwana WEWE umeleta site unayodai inakusupport MIMI nakuonyesha ni kinyume.
Huna adabu kusema "Samahani nilikosea" bali unaendelea na mchezo.
Aibu yako.

(Je ulikosea kusoma nukuu yako ya mwisho? "Baba Kamma 113a. Jews may use lies ("subterfuges") to circumvent a Gentile." - Labda ni kwa kweli: Baba Kamma 113a. Sideeq may use lies ("subterfuges") to circumvent any argument . Nimeiona katika kitabu cha abrakadabra - hata nikikubali ya kwamba kitabu hiki hakipatikani katika maktaba yoyote hii si uhakikisho ya kwamba hakipo maana labda ni nje ya mainstream - kati ya dunia hii na ahera :))
 
Unajikunjakunja kama mnyoo juani! Bwana WEWE umeleta site unayodai inakusupport MIMI nakuonyesha ni kinyume.
Huna adabu kusema "Samahani nilikosea" bali unaendelea na mchezo.
Aibu yako.
Mkuu, nilikuwa nataka ukubaliane na mimi kuwa, kutokukijuwa au kutokiona kitabu wewe haimaanishi kuwa hakipo, je unakubaliana nami ili tuendelee kuanzia hapa?
Baba Kamma 37b. The gentiles are outside the protection of the law and God has "exposed their money to Israel."
 
lakini Sideeq
mi nadhani ungekuwa wazi pia kutupa ukweli wewe unaitambuaje hityo talmud? b4 sijaendelea mbele maana hakuna hata mahali ulipowahi kutuambia pengine ni aya Biblia, mbona mimi nakiona kama
kinafanana sana hadiith za mhammadi
 
sideeq wahangaika,kutuletea porojo
kitu moja nakuomba, mwezi utakapoanza
sisahau kunambia,uniungishe magimbi
mihogo na nyanyachungu,bila sahau mbatata

takuuzia bei cheee,ili uchukue vingi
ushindilie kwa daku,usiku kucha bugia
changanya changanya vitu,kwenye ilo tumbo moja
asubuhi kuinama ili uswali vizuri

sipati picha ikoje,kwenye icho chumba chenu
cha kuswalia mtume,kwani wengi huinama
matumbo yakishajaaa, kwa daku la jana yake
utapata magensium,upunguze kuvimbiwaaaa

hahaaahaaa umedata
 
Sahihisha yako lugha, rafiki yangu Obheli
Ueleze kwa hatua, mwenzangu usije feli
Ni vyema ukagundua, unenapo jambo hili
Ramadhani ilikuwa, tangu zama na dahari.

Wala mimi sina chuki, Obheli ninakwambia

Kama wauliza haki, nikwambiayo sikia
Usilete ushabiki, mada utaikimbia
Ramadhani ilikuwa, tangu zama na dahari

Obheli ukichunguwa, utauona ukweli
Hata Yesu alokuwa, masiha Isiraeli
Swaumu aliijuwa, akafunga na kusali
Ramadhani ilikuwa, tangu zama na dahari

Maandiko ukisoma, utamuona masiha
Alipelekwa milima, na swaumu akihaha
Shetani akimwandama, na zake stihizaha
Ramadhani ilikuwa, tangu zama na dahari

Kufunga siyo chakula, inamakubwa swaumu
Bali kurudi kwa mola, na kuwacha ya dhulumu
Hivyo hoja ya chakula, sioni yake lazimu
Ramadhani ilikuwa, tangu zama na dahari.
 
hahaaahaaa umedata

sijadata dada yangu, ni bora nikawa wazi
milima ya morogoro, eka kumi za magimbi
nyanyachungu mabondeni,nimepanda mwaka huu
kuusubiria mwezi, ndugu zangu wanunue

mwaka huu nitatoa,zawadi kitu kidogo
kinunua gimbi moja,matano wapata bure
mbatata kifungu kimoja,mihogo saba wapata
nataka washindilie, kesho washindwe tembea

jambo moja ninaomba,majini yao fungia
wasiyaachie wazi,kuvamia ndugu zetu
toto za shule zubaa,kama vile wamelewa
kumbe majini ya mtu,yameshaishiwa daku
 
X-Paster hodi nakuja, Jinius sichukie,
Tumaini kwako naja, Sadeeq unisikie,
Hafif andaa hoja, MziziMkavu nisikie,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula.

Nauliza tangu zama, majibu sijayapata,
Nisijeleta dhahama, na jibu kutopata,
Angalizo la mapema, kwa wale wenye utata,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula.

Chonde chonde waungwana, jazba tuweke mbali,
Tukwepe kusuguana, elimu ikawa mbali,
Midomo tukaishona, na likawa chungu swali,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadili kula.

Nimehoji tangu zama, majibu hayaridhishi,
Milo yote kutokwama, kutafuna hamuishi,
Chapatti mwazisukuma, na uji mkijinakshi,
Ramadhani ni mfungo am mwabadili kula.

Milo mitatu ya mchana, mwaipeleka usiku,
Tena mwasutama mchana, mwaomba fika usiku,
Ili kuuulipiza mchana, kwa masaa ya usiku,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadili kula.

Tena mwaanza futari, pale saa za jioni,
Tena mkiwa munkari, kujikunjua usoni,
Na mmejaa tafakari, zile za daku sahani,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula.

Mwakandamiza majimbi, tena vyakula vizito,
Bila kusahau tambi, ili tumbo liwe zito,
Mwajilaza kwanye kumbi, na mkitoa hewa nzito,
Ramadhani ni mfungo ama mwabadili kula.

Tumaini namaliza, X-Paster tafadhari,
Talmud kupunguza, Sadeeq tahadhari,
Maralia we chomoza, sitaki zako kejeri,
Hivi kweli mnafunga, au mwabadiri ratiba.

Wewe umejifunza wapi Mashairi? kwenye Makanisa ya jehova witnesses? sisi tunafunga kama Bwana Yesu Alivyofunga siku 40 mpaka akaona njaa Bwana Yesu Mtoto wa Maria. Mathayo/ Chapter 4 2. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.

sasa wewe Mtunga Mashairi unashangaa waislam kufunga Mwezi wa Ramadhani tena siku 30? Tuache na Dini yetu wewe Mtunga Mashairi.
 
mzizimkava waboa, kutuletea hoja kavu
ni kama umekula mihogo,mikavu pale magomeni
uje ujibu kwa hoja, na si kwa longo longo
kama hujui mashairi,wapishe wanaojua

tatizo kubwa lililopo,wananchi walalamika
siku zile za mfungo,vyakula vyauzwa sana
vyakula bei kupanda,kumbe vinaliwa sana
nilifikiri ukiwa mfungo, watu wapunguza kula

siku zile za mfungo, ni kubadilisha ratiba
misosii tatu ya mchana,inalipizwa usiku
brfs lunch na dinner, vyote vyapigwa usiku
kesho matumbo kujaa,ili mlele mkekani

kama kufunga ibada, mbona mwala kwa lipizo
vyakula vyapanda bei, kwani mwezi wa kuliwa
nilifikiri bei pungua, kwasababu watu wafunga
chakula chaliwa zaidi,kuliko miezi mingine
 
tatizo kubwa lililopo,wananchi walalamika
siku zile za mfungo,vyakula vyauzwa sana
vyakula bei kupanda,kumbe vinaliwa sana
nilifikiri ukiwa mfungo, watu wapunguza kula

Tunafunga Ramadhani, kila pembe ya dunia
Hayo mambo Tan-nzani, si popote namkwambia
Vipi kesi za nyumbani, unahukumu dunia?
 
sideeq wahangaika,kutuletea porojo
kitu moja nakuomba, mwezi utakapoanza
sisahau kunambia,uniungishe magimbi
mihogo na nyanyachungu,bila sahau mbatata

takuuzia bei cheee,ili uchukue vingi
ushindilie kwa daku,usiku kucha bugia
changanya changanya vitu,kwenye ilo tumbo moja
asubuhi kuinama ili uswali vizuri

Sinunui mi vya wizi, uviuzavyo si vyako!
Tabaini waziwazi , Myahudi sifa zako
Riba kwenu ndio kazi,Uadui ndilo lako
Tahadhari na Yahudi auza mali za wizi

Kutwa kuchwa wadhulumu, Raia tu matatani
Wazifisadi kaumu, Kusengenya mdomoni
Msaliti kwenye damu, Rushwa kwako mkononi
Tahadhari na Yahudi auza mali za wizi

Una nyingi sana ila, Ni mengi yako maudhi
Alo macho alo lala, mali zao wazihodhi
Vya kuvunda pia wala, Ni hajayo waikidhi
Tahadhari na Yahudi auza mali za wizi

Wauza hata mbatata! Kwa tuwi unyunyuziwe!
Ni yapi yalo kukuta , Laana we ukimbiwe!
Wenzako wakupapata, Uyahudini jitowe
Tahadhari na Yahudi auza mali za wizi
*Schulchan Aruch, Jore Dia. "A Jew is permitted to rape, cheat and perjure himself; but he must take care that he is not found out, so that Israel may not suffer."
 
*Schulchan Aruch, Jore Dia. "A Jew is permitted to rape, cheat and perjure himself; but he must take care that he is not found out, so that Israel may not suffer."

Tena nukuu ambacho hakipo katika Talmudi. Umeikuta wapi? Sema!
(nafikiri unachota pale ambako watu wamefinyanga maneno hovyo na kubandika jina fulani chini linaloonekana kigeni sana - au la? Kama sivyo: Naomba sana utuambie marejeo kabisa)
 
Wewe umejifunza wapi Mashairi? kwenye Makanisa ya jehova witnesses? sisi tunafunga kama Bwana Yesu Alivyofunga siku 40 mpaka akaona njaa Bwana Yesu Mtoto wa Maria. Mathayo/ Chapter 4 2. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.

sasa wewe Mtunga Mashairi unashangaa waislam kufunga Mwezi wa Ramadhani tena siku 30? Tuache na Dini yetu wewe Mtunga Mashairi.
Mbona uana hasira sana? mkuu kama huwezi kutoa ilimu basi peleka malalamiko yako polisi
 
Wewe umejifunza wapi Mashairi? kwenye Makanisa ya jehova witnesses? sisi tunafunga kama Bwana Yesu Alivyofunga siku 40 mpaka akaona njaa Bwana Yesu Mtoto wa Maria. Mathayo/ Chapter 4 2. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. sasa wewe Mtunga Mashairi unashangaa waislam kufunga Mwezi wa Ramadhani tena siku 30?
Mathayo 6:16,...tena ninyi mfungapo msiwe kama wenye uso wa kukunjamana; maana hujisumbua nyuso zao ili waonekane na watu kuwa wanafunga Mathayo 16:17,....bali wewe ufungapo jipake mafuta kichwani, unawe uso Mathayo 16:18.....ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila baba yako iliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.

any way turudi kwenye somo husika,
 
Tena nukuu ambacho hakipo katika Talmudi. Umeikuta wapi? Sema!
(nafikiri unachota pale ambako watu wamefinyanga maneno hovyo na kubandika jina fulani chini linaloonekana kigeni sana - au la? Kama sivyo: Naomba sana utuambie marejeo kabisa)
Yebamoth 59b. A woman who had intercourse with a beast is eligible to marry a Jewish priest. A woman who has sex with a demon is also eligible to marry a Jewish priest.
 
Back
Top Bottom