Swali

Senk binamu kwa kufuata ushauri. I feel very honoured!

ni kweli nakuwa nimezima, imagine unadumisha mila mara simu ya mdeni wako inaingia? au katoto kako boarding mwalimu anasema hela ya twisheni imeisha?

mmmh wacha kabisa we B!!!
 
why not going thru your stuff!!!! ?? are you not as one kwani......na wawili watakuwa mwili mmoja. unaficha nini kama huna vimeo humo ndani ya simu yako.......
kwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.
 
pale unapozima au kuficha simu yako ndio unaletea maswali mengi sana kwa mwenzi wako ..Y Y haziishi
 
wewe kaka wewe leo umemeza nini? au betry za evaready shika paka pawa?

Ukiona hivyo ujue bibie jana alinifanyia magurumashi. Yaani ndo unataka kuingia ikulu yeye anaruka kimanga. Jogoo linakesha usiku kucha linataka kudonoa lakini hakuna kidonolewaji! Basi shida tupu! Usongo unahamia kwenye vidole.
 
katika vitu ambavyo cvifikiriagi ndio hilo, hata ashinde home wiki mbili bila kutoka bado cjafikiria huko, kwani wazima nyie unaweza hata kuipitishia dirishani ukamaliza mambo.....
sisi wazima bana! tehe teheeee!
I have a dream!! I mean i have a story to tell.
 
dada huyu bwan shem akiwa mbali na wife ndo huiwasha but akija tu likizo kwa mkewe anazima kila ifikapo usiku. Lakini kabla hajapata kazi ya mkoani hakuwaga anazima simu au kwa vile ndoa ilikuwa bado changa??? sijui

cku hizi mie cjui ndio nazeeka, wala cmjali na licmu lake, azime awashe alalie chini ya mto atajijua mwenyewe, mwambie mdogo wetu aachane na cmu ya huyo huyo shem, akili zake azihamishie kwa hao twins wetu...mweh
 
kwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.

Una bahati sana hujaolewa na mimi!
 
kwa kweli mimi nisamehewe tu ila simu ya my hasbendi nashika muda wowote naotaka, lakini pia habari ya amezima au hajazima sijawahi kuifikiria wala hainisumbui. Hata hivyo sipendi simu au message za usiku ziwe zangu au zake coz zinadisturb usingizi na mengineyo. so ningependelea simu zote zizimwe usiku.

agreed!!

pale unapozima au kuficha simu yako ndio unaletea maswali mengi sana kwa mwenzi wako ..Y Y haziishi

nyendo za mashaka ukioziona tu ujue imekula kwako......
 
cku hizi mie cjui ndio nazeeka, wala cmjali na licmu lake, azime awashe alalie chini ya mto atajijua mwenyewe, mwambie mdogo wetu aachane na cmu ya huyo huyo shem, akili zake azihamishie kwa hao twins wetu...mweh

haaaaaa hapo ujue unamuumiza mwenzio, anaona kumbe hata hakurushi roho.....
 
Mimi mme wangu akifanya hivi nitamuuliza tu why anazima simu usiku,u never know labda hataki usumbufu wa simu usiku baada ya kufanya sana kazi .
Amuulize kwanza then atapata majibu why anafanya hivyo,then amwambie kuwa yeye hapendi mme awe anazima simu usiku.

safi kabisa mama watano!
 
Umuumize kwani anajua kama unajua?

anajua unam-ignore, that you dont care wat happens pande hizo na mengine mengi unayajua wewe...

mnapendaga kushobokewa mkichuniwa inawagusa......
 
why not going thru your stuff!!!! ?? are you not as one kwani......na wawili watakuwa mwili mmoja. unaficha nini kama huna vimeo humo ndani ya simu yako.......

yeah it is a big of a deal if he started going through my stuff... because there are things I would rather keep for myself... and there are stuff doesnt concern him..... sifichi kitu lakini kuna vitu naongea na my family or friends and I woldnt want him put his nose into...

BTW whatever happens to trust and privacy? if he doesnt trust me then it is his problem he gotta deal with it... not me.
 
daah!!aya mambo ya cm za viganjani vs ndoa ni hatari sana...hasa pale unapokua mchunguzi wa inbox na 'LOG'...wakti mwingine unaamua tu kuieka maindi yako jumlisha ili usije ukafia usingizini!!wee acha ukweli ujilete wenyewe...wee akija mpe mahaba mazito..asipate hata huo mda wa kuzima masimu yake!!
changamka mjini hapa!!
 
lakini ukweli ndio huo carmel, wanayafanya sana hawa watu...sasa tufanyaje?

Hamna jinsi ni kukubali hali halisi. Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Mkilikubali hili, wala hamtapata shida!
 
yeah it is a big of a deal if he started going through my stuff... because there are things I would rather keep for myself... and there are stuff doesnt concern him..... sifichi kitu lakini kuna vitu naongoa na my family or friends and I woldnt want him put his nose into...

BTW whatever happens to trust and privacy? if he doesnt trust me then it is his problem he gotta deal with it... not me.

wat is there that happens in your family and friends that u don wanna him poke his nose into for instance huh....??? (hizi ndio suspicions mnajenga kwa wenzi wenu wa ndoa)
 
haaaaaa hapo ujue unamuumiza mwenzio, anaona kumbe hata hakurushi roho.....

yeye na cmu yangu mweh utadhani cjui kitu gani, yaani ni zote mbili anazichukua ni atafanya hiki na kile nitaambiwa nasoma mail zangu cjui nini na nini, msg ikiingia anaisoma thn mamii kuna msg huku, unasoma mail wakati yako pia unaweza kui2mia?...kumoyo namwambia "nakuelewa sana na ujue mie ni mwanamke mwenye kujiamini"
 
Back
Top Bottom