Swali

Taratibu homeboy! Babu yake nipo. Ntamganga kwa tiba asilia.

hahaha hommie umefufuka? umemsoma mchumba hapa? nimeangalia sijaona lakini:D vipi ndo kusema babu atampa mjukuu msesewe kama dawa eeh?:rolleyes:
 
Hivi hayo mambo ya wanaume kuwa wakatili kiasi hicho kwa wake zao yalikuwepo hata enzi za wazazi kuwapangia watoto wao wachumba?

Labda turudi kwenye ''arranged marriages'' watu watakuwa na huruma! Hizi ndoa za kukutana barbarani hizi huchelewi kukuta dada yako kaolewa na ''a retired serial killer''.
Masaki!!
 
hahaha hommie umefufuka? umemsoma mchumba hapa? nimeangalia sijaona lakini:D vipi ndo kusema babu atampa mjukuu msesewe kama dawa eeh?:rolleyes:

Hahaha! Mseseve nikiufolia kwenye ngera mjukuu wangu kwishney matatizo yake!
 

Naam bi mkubwa!!
icon10.gif
 
Ah jamani mnanichanganyia dose sasa maana mie namzungumzia Sisy wa jana alopewa adhabu kali na huyu wa kipigo hadi mimba ikatoka

Nahisi malaria inapanda kichwani.
Aksante mamii naona inataka nisije Nai

ikupitie mbali dear....
 
X-Pin kujua kama simu iko on au la si lazima uikague bana, huyu shem wangu yeye akifika tu home usiku anazima matokeo yake sasa rafiki zake au ndugu wakiwa wanampigia inabidi wamcal kupitia kwa wife si ndo wife akamwuliza kwa nini kazima simu? Since then ni mwendo mdundo
Unatafuta kufa kabla Ya siku zako
 
Back
Top Bottom