ccm wamechafuka mno nao wanalijua hilo sema hawawezi kuadmit waziwazi, bila kuwa na kadi yao ninaisapot cdm kutokana sera zao lakini nao endapo cdm watashi madaraka afu wasitende wanachosema kama wafanyavo ccm sasa nao ntawapiga chin sitakiwi kuogopa mabadiliko kama sijafikia malengo yangu! Hakuna chama spesho vyama vyote vilijue hilo naikataa ccm kwa sbb ya utendaji wao mbovu na si vinginevo!