Nataman sana hiyo siku ifike, utasikia viongozi wao wakisema ooh chadema inawafitinisha na serikali, lakin mi naaamin polis wa vyeo vya chini wataandamana kimoyomoyo. hata wakiambiwaq wakawapige risasi waandamaji watasingizia hakuna uvunjifu wa aman ili waendelee kuandamana.kwa kuwa mbunge wa arusha bwana lema amedai ipo siku wataitisha maandamano ya kushinikiza maslahi ya polisi je polisi watayazuia?
kwa kuwa mbunge wa arusha bwana lema amedai ipo siku wataitisha maandamano ya kushinikiza maslahi ya polisi je polisi watayazuia?