Swali

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
10,309
8,369
Wanaume wa kabila moja la kanda ya ziwa (watani zangu) wengi wana sauti nyororo/nyembamba sana, japo wanalipa. Je unalijua hilo kabila? Na wanaume wenye sauti ndogo ni wanaume wenye tabia gani? Kukupa hints wenyewe kwa wenyewe wakati mwingine wanaitana kisauti!
 
Daahh
samahani Nyumba kubwa
hii chemsha bongo ngumu ..
Wataalum wanakuja lakini..
 
Acha kusema kwa ujumla bana khaaaaaa...................... Ngoja waje wenyewe ungeweza kuedit kidogo angalau maana naona kama moshi unafuka muda si mrefu........................
 
Nimesema wengi sio wote. Na leo nimeongea na mmoja ndo maana nimewakumbuka kwani nimeishi nao sana utoto wangu wote. Nawafahamu vizuri hawa watani zangu
 
Sijui ni kabila gani ila sidhani kama sauti ya mtu inaeleza tabia ya mtu!Sema kwa kutumia common sense baadhi wanaweza kua wapole na wataratibu kwasababu sauti zao hata akikugombeza unaweza ukaona anaongea kawaida tu!Nna rafiki yangu yuko hivyo...mtu kama huyo mimi hata kua nae naogopa maana naona kama ntamuonea sana! Oyy..pole NK sijajibu nilichoulizwa..sitadai zawadi!
 
Kanda ya Ziwa inajumuisha mikoa ya MWANZA, KAGERA, SHINYANGA, MUSOMA sasa sijui ni wanaume kutoka mkoa gani
 
Wanaume wa kabila moja la kanda ya ziwa (watani zangu) wengi wana sauti nyororo/nyembamba sana, japo wanalipa. Je unalijua hilo kabila? Na wanaume wenye sauti ndogo ni wanaume wenye tabia gani? Kukupa hints wenyewe kwa wenyewe wakati mwingine wanaitana kisauti!

Mura hao,nakutema.
 
Back
Top Bottom