Elections 2010 Swali zuri kupima wagombea

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
Neno samahani am soory kwa wanasiasa wengi na hata sisi tusiokuwa wanasiasa huwa ni gumu sana kulitanka kama kunywa sumu.

Naomba nipendekeze 1ja ya swali muhimu kuwauliza wagombea watarajiwa kupima uwajibikaji na uadilifu. Lakini papo hapo hili swali ni muhimu kila 1ja wetu akajiuliza katika nafasi aliyonayo kikazi, kiofisi, kibiashara au kisiasa, kijamii

SWALI hili ni MAAMUZI GANI MABAYA ULIWAI KUFANYA MAISHANI MWAKO.???

Kutokana na swali hili tutagundua kama


  • Tuna wagombea malaika hivyo wao hawajawi kufanya makosa na kila tatizo lilipo wao wanawarushia wengine.
  • Tuna wagombea ambao makosa au maamuzi mabovu wanayotambua waliyafanya ndiyo jamii inayatabua vile vile- wawazi na wakweli
  • Tuna wagombea ambao wanatambua maamuzi mabovu waliyofanya lakini jami haiyachukuliii kama ni makosa mazito. au wamejirekebisha???


Je ni swali gani utasaidia wanchi wamjue vizuri mgombea fulani?
 
Hakuna maswali mengine geat thinkes ya kuwasaidia wapiga kura wamjue vizuri mgombea?
 
Subiri, nikirudi narudi na Swali ili tuweze kuwasaidia wananchi na waepukane na maswali kama vile.........UMEOA/UMEOLEWA???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom