Swali: Ziara za Rais Wizarani!

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,541
12,402
WanaJF habari za kutwa nzima ya leo?,
Poleni sana na majukumu ya kutwa nzima!

WanaJF wenzangu,

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameanza kuzitembelea wizara Mbalimbali katika serikali yake siku chache zilizopita. Alianza na Wizara ya fedha lakini swali kubwa kichwani kwangu ni kama Ifuatavyo:-

  1. Ni wizara gani ambazo zitakuwa chungu kwa Mheshimiwa Kuzitembelea?, Kwa nini zitakuwa Chungu kwa Mheshimiwa Kutia Maguu huko?
  2. Ni Wizara zipi ambazo Hazimwumizi Kichwa Mheshimiwa, Yaani hata akienda huko hategemei Maswali yakumbomoa?, Kwa nini hazimwumizi Kichwa Mheshimiwa?
Wadau Naomba Kuwasilisha kwa Mjadala.

Asante.
 
leo alikuwa wizara ya elimu!
 
  1. , Yaani hata akienda huko hategemei Maswali yakumbomoa?,
Wadau Naomba Kuwasilisha kwa Mjadala.

Asante.

Kwenye nyekundu. Nani amuulize maswali? Kwa mfano aende Wizara ya Nishati, nani aulize swali? ngeleja? Yeye si ndo muuliza mambo yanaendelea na kuwakabili waizarani? au kuna session ya waaandishi wa habari kila baada ya ziara ya wizara.
Hata akiulizwa: Mgao umeme utaisha lini?
Atajibu: Sijui, muulize Ngeleja Sijui
Anajua Makamba sijui, kama ni Dowans sijui.

Rejea tungo za Mzee Mwanakijiji
 
Back
Top Bottom