Swali rahisi kabisa.

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Rais akifungua mradi wa maji basi atachota na kunawa kidogo,akiwa anazindua barabara basi atatembea kidogo kwenye barabara hiyo mpya,pia rais akifungua jengo fulani atakata utepe na kuwa wakwanza kuingia,hata akizindua kampeni za ukimwi hua wakwanza kupima,akifungua kiwanda cha nguo basi ugaiwa angalau flana avae..Swali je siku akifungua kiwanda cha kondom atafanya kitu gani kwanza?
 
Itategemea ni raisi wa kike au wa kiume hiyo moja! la pili atapatiwa kadhaa akajaribu na mwenza wake wa ubani! na tatu ili wananchi waone shughuli nzima ya ufunguzi atachukua pipe ya bandia pale TACAIDS na kuvisha na kupiga mbiu CCM oyeee!
 
sasa vipi kondom za kike?
 
Hii ilikuwa kupima barida ya original comed hawa waliofulia waliofulia
 
Lazima zindue kwa kufanya nayo mapenzi ili ajue kama kondomu hizo ni bora au la. Swali ni je atafanya majaribio hayo na nani?
 
Itategemea ni raisi wa kike au wa kiume hiyo moja! la pili atapatiwa kadhaa akajaribu na mwenza wake wa ubani! na tatu ili wananchi waone shughuli nzima ya ufunguzi atachukua pipe ya bandia pale TACAIDS na kuvisha na kupiga mbiu CCM oyeee!

Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom