SWALI: Pete za Bahati!!

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,479
12,247
Wana JF Habari za Weekend, Wenzangu na Mimi Poleni Na Mninginio maana pengine Ukali wa maisha na Mfumuko wa Bei ndo unasababisha Tupige vyombo vya Ilala Kwa sana ili kupunguza misongo ya mawazo.

ManaJF mwisho wa Wiki iliyopita nilipata safari kwenda Mwanga nikitokea A-town. Nilipanda Basi la Abiria ambalo linafanya Safari za Arusha-Tanga Kila siku, nikiwa kwenya Basi hilo nilikaa na Baba Mmoja wa makamoa aliyevalia Suti nzuri Rangi ya Kijivu huku kichwani akiwa na Kibarakashee Vidole vyake vya mikononi vilikuwa vimesheheni Mapete Makubwa; Mgawanyo wa Pete hizo ulikuwa ni 2 Vidole vya Mkono wa Kulia na 2 zenye vito zikiwa Vidole vya mkono wa Kushoto.

Tulipiga Story za hapa na Pale na alionekana kuhusisha utani kidogo katika mazungumzo yetu, moja wapo ikiwa ni Kusifia mapishi ya wanawake wa Kitanga.

Kutokana na story za Utani tulizopiga piga nilipata ujasiri wa kumuuliza Je Zile zote zilikuwa zinaashiria nini; alicheka kwa kebehi na kunijibu kuwa Kuwa inakuwa hadi leo sijajua kuwa kuna pete za bahati na kinga kwa mambo mabaya! Nilishangaa lakini nikajikaza kidogo ili asijue kuwa nimeshangaa kiasi hicho.....

Nilijiuliza Kimoyo moyo kuwa hiki kitu kinawezekanaje na kikubwa Kwa imani yangu nikaona kama hakuna mwongozo wowote ambao naweza kusema aunaniongoza kuishi kwa kutegemea hizo pete.

WanaJF Ni kweli kuna Hizi pete za Bahati au Ulinzi kwa mambo Mabaya?

Naomba Kuwasilisha.
 
Pete hizo zipo kwa mujibu wa imani ya watu hao! Wavaaji wanaamini hivyo na huwa wanapata sawasawa na imani yao! Any way, wengi hawapendi kuvaa mbili mbili kama huyo uliyemuona ila wanapenda kuvaa moja kwa kila mkono ama moja tu. Kwa maelezo zaidi angalia viongozi wako wa kisisa katika nchi hii, hasa wale wenye mwelekeo wa kishirikina.

Tahadhari, siku nyingine usiulize tena wazi wazi hivyo utachekwa! kwani wee ni mgeni hapa nchini?:hand::hand:
 
Wana JF Habari za Weekend, Wenzangu na Mimi Poleni Na Mninginio maana pengine Ukali wa maisha na Mfumuko wa Bei ndo unasababisha Tupige vyombo vya Ilala Kwa sana ili kupunguza misongo ya mawazo.

ManaJF mwisho wa Wiki iliyopita nilipata safari kwenda Mwanga nikitokea A-town. Nilipanda Basi la Abiria ambalo linafanya Safari za Arusha-Tanga Kila siku, nikiwa kwenya Basi hilo nilikaa na Baba Mmoja wa makamoa aliyevalia Suti nzuri Rangi ya Kijivu huku kichwani akiwa na Kibarakashee Vidole vyake vya mikononi vilikuwa vimesheheni Mapete Makubwa; Mgawanyo wa Pete hizo ulikuwa ni 2 Vidole vya Mkono wa Kulia na 2 zenye vito zikiwa Vidole vya mkono wa Kushoto.

Tulipiga Story za hapa na Pale na alionekana kuhusisha utani kidogo katika mazungumzo yetu, moja wapo ikiwa ni Kusifia mapishi ya wanawake wa Kitanga.

Kutokana na story za Utani tulizopiga piga nilipata ujasiri wa kumuuliza Je Zile zote zilikuwa zinaashiria nini; alicheka kwa kebehi na kunijibu kuwa Kuwa inakuwa hadi leo sijajua kuwa kuna pete za bahati na kinga kwa mambo mabaya! Nilishangaa lakini nikajikaza kidogo ili asijue kuwa nimeshangaa kiasi hicho.....

Nilijiuliza Kimoyo moyo kuwa hiki kitu kinawezekanaje na kikubwa Kwa imani yangu nikaona kama hakuna mwongozo wowote ambao naweza kusema aunaniongoza kuishi kwa kutegemea hizo pete.

WanaJF Ni kweli kuna Hizi pete za Bahati au Ulinzi kwa mambo Mabaya?

Naomba Kuwasilisha.
Unaaimani ipi?
Unaamini nini member?
 
JK kama ni member humu au Sheikh Yahaya wanaweza tujuza. JK anaweza atoe ushuhuda maana anayo mkono wa kulia, Sheikh Yahaya anatangazaga kuhusu hizo pete.

Mwisho wa siku ni imani uliyonayo, ndio maana Kibatara - Uganda alichoma waamini akiamini anaenda mbinguni, wengine ni martyrs wanaua wakujia pepo hii hapa kwa kuua wanaowaua.

Wengine wanatembea na watoto/ndugu zao (incest) wakijua utajiri huu hapa.... etc
 
Hizo ni imani na ni vizuri sana kuheshimu imani za watu.
Je umeshawahi kuona wahindi wakifanya vitu vyao katika masanamu kila subuhi?

Mie simo naheshimu sana imani za watu.
 
Mkuu kama ulivosema kwa imani yako hiyo kitu haipo. Ila jua kuna imani nyingine hiyo kitu ipo, na inafanya kazi !
 
Pete haileti bahati. Huo ni ushirikina. Riziki zote huletwa na mola. Tujiepushe na imani hizo mbaya ili tusalimike kesho akhera, siku ambayo kila nafsi itahukumiwa kulingana na yale ulotenda.[cha msingi tufuate muongozo wa vitabu].
 
Wana JF Habari za Weekend, Wenzangu na Mimi Poleni Na Mninginio maana pengine Ukali wa maisha na Mfumuko wa Bei ndo unasababisha Tupige vyombo vya Ilala Kwa sana ili kupunguza misongo ya mawazo.

ManaJF mwisho wa Wiki iliyopita nilipata safari kwenda Mwanga nikitokea A-town. Nilipanda Basi la Abiria ambalo linafanya Safari za Arusha-Tanga Kila siku, nikiwa kwenya Basi hilo nilikaa na Baba Mmoja wa makamoa aliyevalia Suti nzuri Rangi ya Kijivu huku kichwani akiwa na Kibarakashee Vidole vyake vya mikononi vilikuwa vimesheheni Mapete Makubwa; Mgawanyo wa Pete hizo ulikuwa ni 2 Vidole vya Mkono wa Kulia na 2 zenye vito zikiwa Vidole vya mkono wa Kushoto.

Tulipiga Story za hapa na Pale na alionekana kuhusisha utani kidogo katika mazungumzo yetu, moja wapo ikiwa ni Kusifia mapishi ya wanawake wa Kitanga.

Kutokana na story za Utani tulizopiga piga nilipata ujasiri wa kumuuliza Je Zile zote zilikuwa zinaashiria nini; alicheka kwa kebehi na kunijibu kuwa Kuwa inakuwa hadi leo sijajua kuwa kuna pete za bahati na kinga kwa mambo mabaya! Nilishangaa lakini nikajikaza kidogo ili asijue kuwa nimeshangaa kiasi hicho.....

Nilijiuliza Kimoyo moyo kuwa hiki kitu kinawezekanaje na kikubwa Kwa imani yangu nikaona kama hakuna mwongozo wowote ambao naweza kusema aunaniongoza kuishi kwa kutegemea hizo pete.

WanaJF Ni kweli kuna Hizi pete za Bahati au Ulinzi kwa mambo Mabaya?

Naomba Kuwasilisha.
huyo mzee ni mshirikina-hayo mambo wanafanya wale wanaotegemea nguvu za giza na kuwategemea binadamu wenzao-kama kweli hizo pete ni za bahati-huyo mzee nazan angeshakueleza bahati alizopata bila hata wewe kumhoji
 
Hizo ni imani na ni vizuri sana kuheshimu imani za watu.
Je umeshawahi kuona wahindi wakifanya vitu vyao katika masanamu kila subuhi?

Mie simo naheshimu sana imani za watu.

Sikuuliza kwa mabaya lengo ni kujua kama tunavyojuzwa mambo mengine kupitia JF
 
Hakuna logic yoyote kati ya kuvaa pete na bahati / kujikinga na majanga mabaya.

Huo ni Ushirikina, full stop.
 
Muwe mwatusaidia kutueleza maana ya huo ushirikina! Sio kusema kitu hatujaelewa na kuweka full stop! Ndio nini! Tusiulize???!!!.
 
Pete haileti bahati. Huo ni ushirikina. Riziki zote huletwa na mola. Tujiepushe na imani hizo mbaya ili tusalimike kesho akhera, siku ambayo kila nafsi itahukumiwa kulingana na yale ulotenda.[cha msingi tufuate muongozo wa vitabu].
Tuache utani kwenye taaluma.
Kufuata vitabu gani?
Gemology pia imeandikwa kwenye vitabu.
Hivyo vitabu ndio vipi?
Kuliko kushutumu kitu hujui ni vzuri uulize kwanza, ndio utahoji baada yakupata majibu!.
 
Huo ni ushirikina hakuna tofauti na wavaa hirizi, ni sawa sawa na kuabudu miti tu.
 
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguuvu,msaada utaonekana tele wakatii wa maateesoo...nipo church napeleka ibada mi sipo huko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom