Swali : Nimeulizwa

Polisi hawajishughulishi na kesi za wanandoa au wapenzi kwa sababu mara nyingi zimekaa kutishiana tishiana zaidi na hakuna dhamira ya dhati ya kushitakiana. Kama kweli umedhamiria kwa dhati kupata haki yako mahakamani waeleze hilo polisi na hawawezi kukupuuzia kwani hawana mamlaka kisheria kuzuia makosa ya jinai yasifike mahakamani.
 
Tulikosana na wife kaenda polisi mara *kazaa* wanamtupa nje,mimi bado nampenda.akatumia shinikizo la wakubwa kwa sababu aunt yake anafanya ofc ya waziri mkubwa jarida likafunguliwa polisi,wakanipigia cm niende,eti ninashitaka la kujibu,sikwenda,nasubiri waje kunikamata.hapo ndo mwisho wa ndoa.
Hapo kwenye nyota rekebisha...kadhaa. Pia usiwe na shaka hapo wanapima hali ya hewa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom