SWALI;ni kweli huyu ndiye mbunge mfupi kuliko wote?

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Katika angaza angaza yangu nikapata hisia kuwa mh naibu speaker job ndugai aweza kuwa mbunge mfupi kuliko wote.
Is this a fact au ni macho yangu?
 
Mmmh! naona sasa JF imeanza kuishiwa, hili nalo ni jambo la kuleta kwenye ukumbi wa "great thinkers". Jambo hili lina tija kweli kujadiliwa hapa? anyways!. Hawa members wa October 2010 wanavimbwanga kweli.

jackbauer: Senior Member

Join Date: Thu Oct 2010
 
Ngoja tumalize kwanza hoja nzito ndipo tunaweza kujadili hata huo utumbo wa kujua ni mbunge yupi mfupi kuliko wote au mwenye ndevu nyingi, n.k.
 
Mmmh! naona sasa JF imeanza kuishiwa, hili nalo ni jambo la kuleta kwenye ukumbi wa "great thinkers". Jambo hili lina tija kweli kujadiliwa hapa? anyways!. Hawa members wa October 2010 wanavimbwanga kweli.

jackbauer: Senior Member

Join Date: Thu Oct 2010

great thinker anaanza kwa kuchunguza,then anatafuta ukweli.hivi kuna ubaya kujua profile ya mbunge?niliwahi kusikia maumbile ya mtu yaweza kuelezea tabia zake,sasa sidhani kama suala hili halina tija.let great thinkers think then utaona TIJA katika suala hili.
 
Kaka wewe wa October 2010 huna tija hapo acha kuleta zako unawapotezea watu muda ndo nyie akina makamba, watu wanadiscuss issues wewe unaleta issues zisizo na tija. Uchaguzi umeisha mliojiunga kwa sababu ya uchaguzi mnaweza mkatimua tu, tukutane 2015 october
 
naomba nifananishe na mwingine ila sio makamba!!sasa tutazungumzia uchaguzi 24/7?ina maana ukishindwa kuchangia unaiona topic haina Tija.
 
Back
Top Bottom