Swali: Nataka kujua muungano ni wa ccm ama wa wa watanzania wote?

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
Huu muungano ni sera ama ni matakwa ya chama tawala au ni wa watanganyika wote waliridhia? una faida gani kwetu sisi watanganyika ? na kwa nini taifa la tanganyika hali exist? naomba nijibiwe haya maswali jamani kwani sielewi huu muungano upoje upoje ..naweza kuuita sio muungano sijui hata ni muundo gani. bila jazba.
asalamu aleikumu
 
Back
Top Bottom