Swali mtihani wa STD 7 jana....

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,957
93,937
"Panya ukimfungia kwenye box na kipande cha nyama kwa muda mrefu, je nini kitatokea?"

Majibu yenu wana Chit Chat
 
Kitu cha kwanza panya atatia uoga na baada ya muda akiona kumetulia anakula nyama yote then atatoboa box then atachapa mwendo. Weka tick chap....
 
Back
Top Bottom