Swali-medical school

Salanga

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
364
44
Wakuu habari zenu.


Kuna vyuo(vya afya) vina utaratibu wa kuanza kutoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wake katika speciality husika mfano GINECOLOGY,NEUROSURGERY n.k wakati wakisoma first degree(MD).Lengo ni kukuza utaalamu wa mhusika ili baadaye aweze kufanya speciality kirahisi.Katika chuo nilipoona hii program inaitwa "student assistant" .Wanafunzi wanaosoma program zinazohusiana za academics kama vile Physiology huwa lecturers mara tu wanapomaliza MD.

Nimeuliza swala hili wizara ya elimu juu ya uwepo wa program kama hii Tanzania AU VALIDITY yake lakini walinielekezea wizara ya afya na TCU.

Sasa kupitia jukwaa hili la watu wenye hekima napenda kufahamu iwapo hii inaweza kuwa VALID Tanzania maana baada ku graduate huku wanatoa na vyeti kabisa.
 
Kaka nenda jukwaa la JF DOCTOR naona huku vipanga wa hizo ishu hakuna.
 
Back
Top Bottom