Elections 2010 Swali lililombabaisha JK, Lilimpa kigugumizi cha ajabu!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Ni Swali aliloulizwa kuhusu Sura ya Serikali yake ijayo iwapo atapewa ridhaa ya kuliongoza taifa kwa awamu nyingine, na je waTZ watarajie nini kipya katika utekelezaji wa malengo ya millenia?

Jamaa alishikwa na Kigugumizi cha ajabu!

Kwa mtizamo wa wasomi:

1. Mtu kama Rais Kikwete anayemaliza muda wake anapopatwa na kigugumizi wakati wa kujibu maswali ni Dalili ya Uwongo
2. Kikwete anapoongea hoja nzito huku kainama, haitizami hadhira yake ni Dalili pia ya Uwongo ( Dishonesty)
 
Ina maanawewe mkuu ulikuwa hulijui hilo? JK, ni mbabaishaji tu na kesho ndo siku yake ya mwisho kuwa Ikulu.

Wakumbushe jirani zako wooote pamoja na jamaa zako kesho wafike kituoni mapema na kumchagua Dr. wa ukweli ( Dr. Wilbroad Slaa).
 
aLISHAZOE TARATIBU ZA ZIMA MOTO NDIYO MAAANA HANA MPANGO AKIPEWA NDO ATAANDAA.MSITEGEMEE MABADILIKO
 
He's prooving what a failure he is. Even the dumbest person in the country can still trust him no more. Make a U-turn on 31st. Vote for Slaa, vote for revolution!
 
Alisema kuokota makopo na kufungua vizibo bar ni ajira tosha.jamaa hana maana kabisa yule
 
Back
Top Bottom