Swali la wiki: Lowassa aachie uenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya bunge?

Alisema his political enemies wanam-quote vibaya kila anapotoa matamko, sasa anakaa kimya maana hata ukimya ni hekima pia.
 
Na membe aachie uwaziri wa mambo ya nje kwa kumshauri vibaya JK kukutana na uhuru Kenyatta na eugine wa malwa hivyo kuibua mgogoro wa kidiplomasia ndani ya Kenya na katika jumuia ya kimataifa. Mwisho nashauri Angalia kanuni za Bunge Toleo la mwaka 2007, ili pia uangalie majukumu ya Kamati ya Bunge ya nje ulinzi na usalama na yapi, Aidha Kamati hii kwa mujibu wa kanuni hufanya kazi zake kwa faragha, hivyo si lazima lowassa aongee hadharani.

Political adolescence at its best. Rais amekuwa akikutana na wagombea urais wa Kenya kila wakati na hilo si jambo la ajabu kwa sababu after all wengi ni viongozi walio madarakani katika serikali yao. Huo mgogoro wa kidiplomasia unaousema umetokea wapi? Mbona walisindikizwa na balozi wao? Hivi ni lazima uongee hata kama kitu hukijui na unaamua kujidhalilisha kwa maslahi gani na kwa faida ya nani?
 
hakuna atakaempitisha ndani ya chama!Ajaye hakuna ht aliyewahi kumdhania!so el urais hapat labda agombee kupitia chama kingine o mgombea binafsi!.....tupo hapa,we shal see
 
Anajua ameshafanya jitihada kubwa za kujisafisha kwenye madhehebu ya dini kwa hiyo hataki kuharibu, kwake yatosha.
 
EL jamii inakubali matamko yako kwa kuwa yana maono[vision] . jamani jamaa katoa tamko kwa kuikumbusha jamii, kuwa pale aliposema ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu, hakueleweka ila kidogo baada ya hizi vurugu ameanza kueleweka. vilevile hii hali iko kwenye level ya RPC,RC,OCD,DC, kama viongozi hao wakifanya kazi yao ipasavyo ile siyo issue hata Rais kuizungumzia lkn kwa kuwa hiyo safu imelegalega ndo maana imekuwa kama issue kuuuubwa kuangaishana na kibaka Ponda.
 
Lowasa ni mwenyekiti mstaafu wa kamati ya ulinzi na usalama ya bunge. Ninavyoelewa kamati hii ndio msimamizi na mshauri mkuu wa serikali kuhusu usalama wa nchi. Binafsi nilimfahamu Apson(Rtd TISS boss) kwenye harusi ya mzee Malecela na Anne wakati huo Malecela akiwa m/kiti kamati ya usalama. Sasa ninapokwazika ni kama Lowasa ameongoza kamati hii nyeti ni mchafu kweli? Naomba Pasco na wadau nijuzeni kazi za m/kiti wa kamati hii yawezekana sielewi. Je huyu ni msimamizi mkuu wa usalama wetu?!
 
Back
Top Bottom