Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
Jaffarhymes sijui kwa nini alikipiga chini hiki kifaa. Hizi Paja tayari mate yananitoka!! Hata kama mzee but "analipa"
Jaffarhymes sijui kwa nini alikipiga chini hiki kifaa. Hizi Paja tayari mate yananitoka!! Hata kama mzee but "analipa"
ubaya wa hilo swali uko wapi?
Au ndo ubabe wa sophia tu?
Hiyo picha hapo juu kabisa inamaana gam?
Nilikuwa najiuliza swali hilohilo
Kuna source nyingine hapa JF iliyokuwa na swali kama hilo. Let us make an assumption kuwa hilo si swali la msingi, hebu soma majibu hapa chini uniambie yanaweza kuwa yamejibu swali gani, ni sahihi kwa mwenyekiti wa taifa kuja na majibu kama hayo, na je majibu hayo yanaonyesha uwepo wa fikra achilia mbali weledi.Sicho hicho Shyrose alichokisema.
''naonekana aliyeuliza swali hajakomaa katika siasa za nchi, ndio maana ameambulia kuzomewa na wajumbe wa mkutano huu. Habwatuki bungeni au majukwaani kwa vile yeye ni serikali, na hata mbunge wa CCM hapaswi kukikosoa chama chake. Mimi si mithili ya upinzania kukaa na kukiosoa chama napaswa kukitetea. Anayesema Sofia Simba hajafanya kitu anajidanganya kwani wapiga kura wako kwenye matawi, kata, wilaya na mikoa, hao ndio wapiga kura wa chama na mimi kama mwenyekiti wa UWT nilijiimarisha katika ngazi za chini
Shyrose hapaswi kuwa huko aliko, na bila shaka yupo huko kwa tamaa ya madaraka kama vijana wengine wanavyofanya. Wanakichukia CCM lakini kwa kuwa wanaamini bado kina nafasi ya kutawala basi wanakikimbilia ili wawe sehemu ya watawala ili kujinufaisha!! Tizama siku kikianguka wangapi watahamia ktk chama tawala cha wakati huo.