Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

Wanawake wa Kitanzania hawawezi chochooote wenyewe mpaka mwanamme ahusike, japo kwenda kuwaaambia "tunakubali mchango wenu" ....SMH

Yourself included au wewe si mmoja wa hao "Wanawake wa Kitanzania" wasioweza chochote wenyewe mpaka mwanaume ahusike?
 
shy na wenzako kama ww. if you want to be in ccm you have to play dumb dumber dumbest. Nilidhani unalijua hilo. ndio man mimi siko huko.
 
hajakomaa amekua ndizi huyo shyrose?ccm uliza swali msingi uone cha moto si mmeona kwa kina pina na filiponjombe.ukiwaona hao majimama yalivyojipodoa utafikiri majini.wanajali tu matumbo yao hata kujibu maswali ya msingi wanashindwa;na huyo professor wa kihaya kwa nini abague maswali?haukua mkutano wa uwt bali kitchen part ya uwt.nashangaa jk kuhudhuria kitchen part hivi hakujua au alishauriwa vibaya?
 
Wewe una play smart smarter?

attachment.php


Walipokutana Mkutano Mkuu hivi karibuni huko Dodoma, je, walipatanishwa au walibaki kukenuliana midomo?
 
Swali la Shy lilikuwa la kutumwa naye akaingia kichwa kichwa, uwezo hana wa upembuzi hajui kwamba wakati mwingine 1+1 yaweza kuzaa jibu la 1. huyu mdada mie nimesoma naye miaka ya 90 chuo cha saut wakati huo kikiitwa NSTI, hana uwezo, ili afaulu mtihani ilimlazimu kugawa kama pelemende ili walimu na wanafunzi wampige wamvushe mwaka. hayo ndiyo makosa CCM. inawapa nafasi nyeti watu bila kuangalia Histolia zao, wengine waliopewa ukuu wa wilaya wanaeleweka kabisa kuwa ni wabwia unga na wavutaji wa bangi, ili mradi tu ni watoto wa waasisi furani au rafiki wa mtoto wa mkubwa basi.
 
Back
Top Bottom