Swali la Nyangwine Bungeni

othorong'ong'o

Senior Member
Jan 20, 2011
103
19
Jamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
 
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa?

wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
 
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa? wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
ubalozi wa vatican unawakilisha vatican!
 
jamani,swali la nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini tanzania.,sijui mnalionaje
jamaa pumba.. Mie nimesoma nae..yaani hata ubunge sijui kapataje??
 
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa? wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
kwa hili nakubaliana na wewe ila vatican ni nchi iliopo ndani ya italia..
 
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa? wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
Inawakilisha Vatican City na inatambulika nchi nyingi duniani kama si zote
 
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa?

wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
Mr Mak, sio kila kitu lazima uulize unatakiwa kufanya research kidogo. Ingekuwa Ulaya asingeruhusiwa kuongea kwani kule No research, No right to speak. Nyangwine angefanya research kidogo angepata jibu na hivyo kuitumia vizuri 70,000 yetu ya posho aliyolipwa leo kwa kukaa kikaoni kwa kuuliza swali lenye tija
 
Jamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
Mimi sishangazwi na swali lake maana linaweza kuwa na lengo la kuzaa swali zuri la nyongeza, kumbuka maswali yote waziri hupewa mapema kabla hata ya mkutano wa bunge kuanza na anaandaa majibu yake ila maswali ya nyongeza yanajitokeza papo hapo kutokana na swali la msingi sasa ingekuwa vizuri kama ungefuatilia kujua kulikuwepo swali la nyongeza?
 
Mr Mak, sio kila kitu lazima uulize unatakiwa kufanya research kidogo. Ingekuwa Ulaya asingeruhusiwa kuongea kwani kule No research, No right to speak. Nyangwine angefanya research kidogo angepata jibu na hivyo kuitumia vizuri 70,000 yetu ya posho aliyolipwa leo kwa kukaa kikaoni kwa kuuliza swali lenye tija

kwa posho hata mimi sipendi wapewe ila kwa swali lake ajibiwe. Kaka kwa maneno yako inaonesha mpaka unatype hapa umesha fanya hiyo research sasa lijibu hilo swali
 
He umeleta mapya sasa kama ni nchi nani rais wake
Jamani Vatican ni nchi kamili....wao hawaiti rais bali mkuu wa nchi ambaye ni Papa Benedict XI....Tukija kwa Nyambari hilo si swali la kitoto. Ni muhimu sana kufahamu tuna mahusiano mazuri ya kidiplomasia na nchi ngapi duniani. Twaweza dhani ni swali la kitoto lakini linapokuja suala la uhusiano kimataifa ni vema kufahamu nani na nani ni marafiki zetu.
 
kwa posho hata mimi sipendi wapewe ila kwa swali lake ajibiwe. Kaka kwa maneno yako inaonesha mpaka unatype hapa umesha fanya hiyo research sasa lijibu hilo swali
Mi sitaki uwe mvivu kama huyo jamaa Nyangwine, hebu tumbukia katika website ya Foreign affairs ulitafute hilo jibu. Unauliza only kama hakuna njia rahisi kupata majibu.
 
He umeleta mapya sasa kama ni nchi nani rais wake
kuwa nchi sio lazima kuwe na rais Mak, inategemea na mfumo wa utawala uliopo, kwani Swaziland rais wake ni nani? au unamfahamu rais wa Uingereza?
 
jumla ya balozi za nje zilizopo tz ni 52 tu na tanzania ina baloz nje ya nchi jumla ya 32 tu
 
Back
Top Bottom