Swali la Mwisho kwa Kova

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,424
85,868
Baada ya kujiuma uma jana naomba kumuuliza swali hili la miwsho tu; je kama suala hili liko mahakamani, wewe uliwezaje au ulipataje ujasiri wa kuitisha Press conference na kulizungumzia suala ambalo tayari liko "Mahakamani"? Je naweza kuhitimisha kuwa umekwepa kujibu hoja za Gwajima ambazo alitaka muanze kwa kumkamata Msangi?

Hivi ni lini jeshi lako lilipata sifa njema nasi tukajivunia?
 
Walimpeleka Joshua mahakamani kisirsiri kama kisingizio cha kutokuongelea swala la ulimboka mahali popote, hii ni Janja ya Mabwepande
 
Swali la mwisho?!, unammana kova sasa atakuwa almarhuun?!
 
Ndio nashindwa kumuelewa Kova, aliwezaje kuzungumzia suala ambalo liko mahakamni tena kwa kuitisha Press Conference? lakini wakija watu kutoa ushahidi na kukanusha (Gwajima) yeye anaruka na kusema hawezi kuzungumzia suala ambalo liko mahakamani
Walimpeleka Joshua mahakamani kisirsiri kama kisingizio cha kutokuongelea swala la ulimboka mahali popote, hii ni Janja ya Mabwepande
 
Ndio nashindwa kumuelewa Kova, aliwezaje kuzungumzia suala ambalo liko mahakamni tena kwa kuitisha Press Conference? lakini wakija watu kutoa ushahidi na kukanusha (Gwajima) yeye anaruka na kusema hawezi kuzungumzia suala ambalo liko mahakamani

mbona pinda alisema lipo mahakamani na JK akalizungumzia!?
magambaa's bwana!
 
Kha!!!! kwahio Mahakamani ni kwajili ya akina fulani tu? mmmhh haya magamba sasa yana lao jambo
mbona pinda alisema lipo mahakamani na JK akalizungumzia!?
magambaa's bwana!
 
Marehemu Bob Marley aliimba " you can fool some people some time, but you can't fool all people all time " nafikiri haya maneno yametimia kwa serekali yetu !
 
Mani Hii signature yako unatafuta visa wewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom