haiwezekani kuoa MKE mwengine,isipokuwa kuoa MWANAMKE mwengine inawezekana.
Unaposema Mke wangu ina maana ni MWANAMKE uliyemuoa. Sasa umuoe MKE wako ila umwiteje au utamwita Mamsapu?hahahahaha, umeshemka
Swali la mtego hili huwezi kuoa MKE isipokuwa unaoa MWANAMKE (MKE NI MWANAMKE ULIYEMUOA/ALIYEOLEWA). Hii ni sawa nakusema BARAFU iliyoganda. Barafu haigandi ila Maji ndiyo yagandayo. Ila muuliza swali nampa mji,nenda Kilindonin.....ko!!! umetuweka watoto wadogo sisi ...!
Swali la mtego hili huwezi kuoa MKE isipokuwa unaoa MWANAMKE (MKE NI MWANAMKE ULIYEMUOA/ALIYEOLEWA). Hii ni sawa nakusema BARAFU iliyoganda. Barafu haigandi ila Maji ndiyo yagandayo. Ila muuliza swali nampa mji,nenda Kilindoni
Ivi mkeo au mchumba wako wa kike akikuuliza hili swali utajibu vipi.
" ivi nikifa utaoa mke mwingine"?
Warembo hakuna ndugu yangu.
Kama kuna warembo wa kueleweka. Otherwise sina nauli
Ivi mkeo au mchumba wako wa kike akikuuliza hili swali utajibu vipi.
" ivi nikifa utaoa mke mwingine"?
Ingekuwa mm nakwepa kumjibu kwa kumzuga kuwa asizungumzie mambo ya kifo kwani sio mazuri.Ivi mkeo au mchumba wako wa kike akikuuliza hili swali utajibu vipi.
" ivi nikifa utaoa mke mwingine"?