Swali la kizushi: Makao makuu ya DPP yako wapi na kwanini?

Mkuu Buchanan hivi PCCB hakupewa Prosecutorial power kweli kwenye ile sheria yao ya 2007? Manake naona kuna baadhi ya kesi zinaendeshwa na waendesha mashitaka toka PCCB

Wanayo kwa kesi zinazoangukia kwenye saheria yao. Hiyo ya DPP inawawezesha kuprosecute makosa chini ya sheria nyinginezo
 
The Prevention and Combating of Corruption Act, 2007 haizungumzii lolote juu ya "uteuzi" wa Public Prosecutors isipokuwa Section 7 inasema kama ifuatavyo:

Functions of the Bureau shall be to take necessary
measures for the prevention and combating of corruption in the
public, parastatal and private sectors and in that regard, the Bureau
shall-
(a)...(d) N/A
(e) investigate and,
subject to the directions of the Director of
Public Prosecutions
, prosecute offences under this Act and
other offences involving corruption
;
(emphasis supplied).

Vifungu vinavyozungumzia "uteuzi" ni kama hivi vifuatavyo:
Section 95 (1) ya The Criminal Procedure Act, Cap. 20, R. E. 2002 inasema kama ifuatavyo:
The Director of Public Prosecutions may, by notice published in the Gazette, appoint public prosecutors for Tanzania or for any specified area of Tanzania, either generally or for any specified case or category of cases. (Emphasis supplied).

S. 95 (3) pia inasema kama ifuatavyo:
"Every public prosecutor shall be subject to the express directions of the Director of Public Prosecutions."
Kwa hiyo unaweza kuona kwamba kwa habari ya Appointment and Control vyote viko chini ya DPP, whether Prosecutor yuko kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) au la!

Mkuu hapo kwenye subject to directions of the DPP sijui pana maana gani kisheria. Hakuna kuwa appoint bali anatoa directions. Inaweza ikawa kwamba wana prosecutorial power ila kuna directions fulani wanatakiwa wapate toka kwa DPP?

Vipi kuhusu kuteua private Prosecutors? Mbona sijaona hata siku moja akiteua waendesha mashitaka wa kujitegemea kama ambavyo CAG huwa anateua wakaguzi wa kujitegemea kama vile Ernest and Young (EPA), nk. Najua kisheria CAG ndiye mwenye mamlaka ya kukagua hesabu za serikali lakini pia amepewa mamlaka ya kuteua wengine kumfanyia kazi kama DPP.
 
Mkuu Kimbunga usisahau s. 95 (1) ya CPA inayozungumzia uteuzi wa Public Prosecutors! Hiyo ya Private Prosecutors tuiweke pembeni kwa sasa unless unamaanisha kwamba Prosecutors wa PCCB ni "Private!"
 
Mkuu
hapo kwenye subject
to directions of the DPP sijui pana maana gani kisheria. Hakuna kuwa
appoint bali anatoa directions. Inaweza ikawa kwamba wana prosecutorial
power ila kuna directions fulani wanatakiwa wapate toka kwa DPP?

Vipi kuhusu kuteua private Prosecutors? Mbona sijaona hata siku moja
akiteua waendesha mashitaka wa kujitegemea kama ambavyo CAG huwa anateua
wakaguzi wa kujitegemea kama vile Ernest and Young (EPA), nk. Najua
kisheria CAG ndiye mwenye mamlaka ya kukagua hesabu za serikali lakini
pia amepewa mamlaka ya kuteua wengine kumfanyia kazi kama DPP.

maana yake polisi na takukuru wanatakiwa kupeleka majalada yao kwa dpp ili kupata maelekezo ya namna ya kukamilisha uchunguzi kama atakavyoona
kabla hajatoa consent yake.
 
maana yake polisi na takukuru wanatakiwa kupeleka majalada yao kwa dpp ili kupata maelekezo ya namna ya kukamilisha uchunguzi kama atakavyoona
kabla hajatoa consent yake.

Sasa DPP ni "Mkurugenzi wa Upelelezi" mpaka atoe maelekezo ya namna ya kumaliza uchunguzi? Au kuna Sheria gani inayomwezesha kufanya hivyo?
 
Sasa DPP ni "Mkurugenzi wa
Upelelezi" mpaka atoe maelekezo ya namna ya kumaliza uchunguzi? Au kuna
Sheria gani inayomwezesha kufanya hivyo?

hapana. anachambua ushahidi uliokusanywa ili kujiridhisha kama una vipengere vyote vinavyotakiwa kuthibitisha kosa. kama kuna upungufu anaelekeza cha kufanya kuziba upungufu huo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom