swali la kizushi kwa wanajamii

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Mwenzenu nimeulizwa hili swali na watoto wangu niimeona ni vema kama nikipata msaada wenu kwani kwangu lilikuwa swali gumu kidogo. Swali lasema hivi:- Hivi kwa nini viumbe hai vyote vizaliwapo havina meno na baada ye huota meno? Na kwa mfano binadamu, baada ya kukua na kufikia miaka 4 mpaka labda 13 meno ya utatoni hutoka na kuota mapya. Na halafu jinsi wazeekavyo hupoteza meno yote. hivi ni kwanini?
 
Katafute vitabu vya biology vya form one.utapata majibu yote.
btw hao watoto wako wana umri gani? washaanza kwenda shule?
 
Back
Top Bottom