Swali la kizushi: Intelijensia haijafanya kazi Zanzibar?

Status
Not open for further replies.
Kama london ama france vijana waliunguza itakua bongo?haya mambo hutokea na nyakati hizi za mitandao watu kujiogarnise very simple.
Hivi we mzee uliwahi kuwa usalama wa taifa ukapigwa chini nini?naona kama unapenda kuwaponda hawa jamaa sana inshort we uko na chuki na serikali tena ni tangu awamu ya tatu nakusoma hivi walikufanya nini mzee
 
Hebu funguka tukuelewe.....iwapo Watu wanapanga Njama za kihaini na hadi wanachoma majengo bila kushtukiwa tutaamini vipi Kama Hawa jamaa wapo kazini kweli au wanakula posho tu

Mnahangaika bure TISS wanamjua aliyechoma makanisa na mpango mzima ulisukwa na wao ili kipatikane kibali cha kuzuia mikutano ya jamaa wa uamsho kwa kisingizio cha uchochezi uliopelekea makanisa yachomwe,it was a strategy bandugu amkeni usingizini hata kama usingizi ni mtamu kiasi gani,kuna ngoma mnachezeshwa bila kuijua!
 
I think we have to start somewhere! I believe MKJJ had all the reasons as to why he targets tiss. Someone else can locate another institution, and based on evidence make suggestions. I think it is only in Tanzania where civil servants turn to be masters as opposed to being SERVANTS. That is why we are not used to such kind of criticism. When we stop being objective and impartial, we start being cynical to every idea -no matter how constractive/objective the idea might be - we will simply analyse such good ideas through the lens of chama, kabila, dini, kanda na background! What a mistake!
Mention one competent institution in Tanzania and i will agree to overhaul TISS. In a country where nothing fuctions at international standards to single out one institution does nothing but to raise eyebrows if not querries!!!
 
duh; yaani muda wote huu kweli bado unaamini nimesingle out 'one institution'? Hatukusema ATCL, hatukusema Polisi, Hatukusema Bodi ya Mikopo, Wizara ya Afya n.k? Lakini, si imesemwa TRA hapa na CRDB mahali pengine?
 
mzee mwanakijiji una uhakika gani kuwa serikali ya jk haikuambiwa kitu kuhusu UAMSHO?
Pili,unaelewa ni kwa kiasi gani TISS wamezuia au kupredict mauzauza vs jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Bado sijaamini kwamba TISS imekuwa compromosied to the extent of system overhaul!
 
extremely incompetent, unproffessional,, hiyo nafasi ilikua achukue evodius walingozi (alikua mkuu wa mafunzo na utafiti).., wakamuua kwa sumu...,

Detail zenyewe za presidential security alikua anapanga comandoo mstaafu wa jwtz
 
Mention one competent institution in Tanzania and i will agree to overhaul TISS. In a country where nothing fuctions at international standards to single out one institution does nothing but to raise eyebrows if not querries!!!

Mkuu, TISS ina-cut across. Hii institution ikishikwa na homa basi kila office, mtaa, nyumba,chumba, kitanda, uvunguni, kila kitu , itakuwa ni kukohoa. Think about it.
 
Mention one competent institution in Tanzania and i will agree to overhaul TISS. In a country where nothing fuctions at international standards to single out one institution does nothing but to raise eyebrows if not querries!!!
Failure of other institutions to perform satisfactorily is not an excuse for TISS to become lazy and negligent, this institution is very crucial for keeping peaceful and secure atmosphere of our nation as well as maintaining national ethics which pose to be vital for development but instead this institution has turned its agents to become CCM guard dogs!
 
After so many missteps and a myriad of events that expose the incompetence and mediocrty of our intelligence service isn't this the time to call for major overhaul of TISS? the changes that will include the removal of RO and his deputies?

Nadhani watu wengi akiwemo mwanakijiji bado awajatambua ukweli na chimbuko la matatizo na kuwa lawama zinaenda kwa wasiostahili.

Tatizo linalotokea sasa ni kosa lililopitishwa na bunge letu mwaka 1992 baada ya kupitisha mswada wa TISS act 1992 ambayo iligeuza usalama wa taifa toka chombo cha utendaji na kuwa chombo cha ushauri. kabla ya hapo usalama wa taifa walihusika moja kwa moja katika kugundua na kuzuia jambo lolote lenye madhara kwa taifa lakini kwa sasa wao kazi yao ni kuchunguza na kutoa mapendekezo kwa serikali na si kazi yao kuona kwamba yamefanyiwa kazi au lah kwani wao si watendaji.

kwa sheria hii ya TISS act ya 1992 inamaanisha ata usalama wa taifa wakigundua kuna meli imebeba mabomu inakuja katika nchi yetu wao kazi yao si kuizuia bali ni kutoa taarifa ya ujio wa meli hiyo na kama vyombo husika vikishindwa kuizuia wao wataacha iingie na ata ilipue taifa letu kwani ni nje ya kazi yao.
 
Yeah na si Mkapa, Lowasa, Nkya, Mataka, wala Chenge!! ur "so" smart!
acha elements za udini,TISS imekosea nini?unajua kuwa tiss huwa wanakusanya habari kisha wanaripoti sehemu husika?wao huwa hawakamati twiga wanaotoroshwa nje!kwani dr aliyetoa chanjo fake pakistan ndie aliyemkamata osama?
 
Kwa wana israel mke na mme wanaweza kuwa wote mosad lakini hawajuani!kipindi cha nyerere hata mkurugenzi wa usalama wa taifa alikua hajulikani.hata siku moja hakwenda kwa waandishi wa habari
 
Mzee Mwanakijiji inasemekana kuwa TISS wanafanya kazi yao kama inavyotakikana ila tatizo ni kuwa taarifa wanazotoa nyingi zinapuuzwa na kutofanyiwa kazi kabisa.Siwezi kuamini kuwa ile mihadhara yote iliyofanywa na uamsho serikali haikupata taarifa.
 
Kwa wana israel mke na mme wanaweza kuwa wote mosad lakini hawajuani!kipindi cha nyerere hata mkurugenzi wa usalama wa taifa alikua hajulikani.hata siku moja hakwenda kwa waandishi wa habari

Sio kweli enzi za mwalimu wakurugenzi wa usalama wa Taifa wote walijulikana toka Mzena, Gama mpaka Kitine wote walijulikana kuwa walikuwa makachero No. 1.
 
Kwa haya madudu yanayoendelea sasa TISS inatakiwa kuangaliwa upya. Kwa mfano inakuwaje watu wanaweza kusafirisha wanyama hai mpaka nje ya nchi bila kukamatwa? Inakuwaje watu wanachoma makanisa na kufanya mihadhara inayotishia amani halafu wanaachwa bila kufanyiwa lolote? Au TISS na PCCB wana fanya kazi kwa mitazamo ile ile? Hakuna nchi katika dunia ya leo inayoweza kupiga hatua mbele kama institution inayofanana na TISS ina meno butu yasiyouma. Tutazungukwa hapa na kupewa suprise na maadui zetu. Badala ya kujadili hoja watu wanaanza kujadili jina na dini la kiongozi wa TISS. Yeye kama kiongozi wa institution anatoa mchango gani kwa ustawi wa Taifa? Tusianze kujadili dini maana kuna watu kila siku wanasema wanaonewa hata kama ukiwapeleka mahakamani kwa kosa la forgery kama yule rafiki yangu wa saigon
 
Failure of other institutions to perform satisfactorily is not an excuse for TISS to become lazy and negligent, this institution is very crucial for keeping peaceful and secure atmosphere of our nation as well as maintaining national ethics which pose to be vital for development but instead this institution has turned its agents to become CCM guard dogs!

Kaka tupende tusipende, TISS ndilo jicho la taifa letu. Kama limeamua kuwa kipofu tutegemee tutaishia wapi kwenye hii safari yetu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom