Swali la kizushi: Intelijensia haijafanya kazi Zanzibar?

Status
Not open for further replies.
Kitendo cha kamanda kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu,tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.

Mkuu sensor za intelijensia ya policcm zinanasa signal za chadema tu!
kwingineko wanakamata hola! hata ishu ya zanzibar sensor za intelijensia zime stack!
 
Kitendo cha kamanda kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu,tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.

Kwani kuna tofauti gani kati inteligensia na ujasusi?
 
Si lazima mchangie.namsubiri lula wa ndali mwananzela a.k.a mzee mwanakijiji.huyu ana majina mengi kweli mara kondo tutindaga mara msomaji raia..............................ah si bora utumie jina lako tu.
 
Kitendo cha kamanda kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu,tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.

Kwani kuna tofauti gani kati inteligensia na ujasusi?
 
Kitendo cha kamanda Kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha kuzurura mitaani na kombe masaa machache tu baada ya mkutano wa chadema kwisha,hii ni dharau ya hali ya juu.

Tunahitaji kauli kutoka kwa viongozi wa chadema kwani dharau hii haivumiliki hata kidogo.

Mkuu, Mbowe amesha mwambia KOVA siku ya Jumamosi pale Chadema Square. Sasa kama hakusikia shauri yake!
 
Simba kuna washabiki ambao ni CCM, CHADEMA, CUF, NCCR na wasio na vyama pia wapo. Chadema ni wao pekee.
 
Usijiumize akili ndigi yangu kuwafikiria hao watu coz wao hawana dakika hata moja kuyawaza hayo.but you have made a nyc observation.
 
After so many missteps and a myriad of events that expose the incompetence and mediocrty of our intelligence service isn't this the time to call for major overhaul of TISS? the changes that will include the removal of RO and his deputies?
 
Una kazi ya ziada,

Maana maadui zako ni kikwete,Dr Rama wa NSSF, alikuwa Haji mponda, na sasa Rashid Othman.

Now people understand your true color! Umechelewa sana!
 
very true.this institute is there to protect the interest of those in power.
 
Una kazi ya ziada,

Maana maadui zako ni kikwete,Dr Rama wa NSSF, alikuwa Haji mponda, na sasa Rashid Othman.

Now people understand your true color! Umechelewa sana!
...so to say mzee mwanakijiji has entered a female toilet were male a forbidden!?.:happy:
 
Mention one competent institution in Tanzania and i will agree to overhaul TISS. In a country where nothing fuctions at international standards to single out one institution does nothing but to raise eyebrows if not querries!!!
 
Una kazi ya ziada,

Maana maadui zako ni kikwete,Dr Rama wa NSSF, alikuwa Haji mponda, na sasa Rashid Othman.

Now people understand your true color! Umechelewa sana!
Hebu funguka tukuelewe.....iwapo Watu wanapanga Njama za kihaini na hadi wanachoma majengo bila kushtukiwa tutaamini vipi Kama Hawa jamaa wapo kazini kweli au wanakula posho tu
 
Mwanakijiji umeongea kidogo sana kwa mtu wa kawaida kuweza kuyaona mapungufu hayo ambayo hujayaweka wazi.
 
Jamaa alikuwa anaangalia kigezo kimoja tu cha dini bila kujali uwezo wa utendaji sasa imekula kwake. Boko haram na Al Quaeda wameweka kambi unguja na JK ataambulia aiba ya SHIPA la Muungano kumpasukia. Safi sana ha ha ha kama Mutuz
 
Kama london ama france vijana waliunguza itakua bongo?haya mambo hutokea na nyakati hizi za mitandao watu kujiogarnise very simple.
Hivi we mzee uliwahi kuwa usalama wa taifa ukapigwa chini nini?naona kama unapenda kuwaponda hawa jamaa sana inshort we uko na chuki na serikali tena ni tangu awamu ya tatu nakusoma hivi walikufanya nini mzee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom