Swali la kizushi........Asome mwanamke tu...

hapo hakuna cha haus girl wala ndung yangu tunabaki wawili mm na yeye naamin kwavile huo ni ugonjwa umempata mwenzangu nitahakikisha nayamudu majukumu yangu ya nyumbani kwa muda nikiwa natafuta njia ya kumaliza hilo tatizo, naamini ufumbuzi utapatikana kwan halikuwepo awali,limeibuka on the way,nitaanza na kutafuta chanzo cha tatizo nikianza na mimi mwenyewe, then yeye na ninishindwa nitashirikisha watu wazima wa karibu yetu wanisaidie mpaka nihakikishe napata solution.
 
Kweli huo ni mtihani ila inabidi baada tu ya mdogo wangu kunieleza hayo ntamkalisha huyo bwana nimsomee risala japo najua sio rahisi yeye kukubali ila atajua nimejua...dawa ni house boy tuu ila chondechonde asije hamia kwa nyuma sasa mhh na maombi ya kuua hilo pepo yakiendelea lol
 
hapo hakuna cha haus girl wala ndung yangu tunabaki wawili mm na yeye naamin kwavile huo ni ugonjwa umempata mwenzangu nitahakikisha nayamudu majukumu yangu ya nyumbani kwa muda nikiwa natafuta njia ya kumaliza hilo tatizo, naamini ufumbuzi utapatikana kwan halikuwepo awali,limeibuka on the way,nitaanza na kutafuta chanzo cha tatizo nikianza na mimi mwenyewe, then yeye na ninishindwa nitashirikisha watu wazima wa karibu yetu wanisaidie mpaka nihakikishe napata solution.

At least wewe umetegua kitendawili..........................
 
mi hata cwez kusubiri mpaka watembee wote nikiona tu dalili ya mvua kabla hata ya mawingu kutanda juu zen kunyesha iyo mvua mm namtimua huyo binti zen huyo mume atakoma na mm sasa mana najua azabu za kumpitia mpaka angejuta kunioa
 
wanawake jiulizeni ni kwa nn waume zenu watembee na binti wa kazi, kuna mambo hamyatoi ipasavyo
msilaumu binti wa kazi jiangalieni nyie kwanza mapungufu sababishi.
 
mi hata cwez kusubiri mpaka watembee wote nikiona tu dalili ya mvua kabla hata ya mawingu kutanda juu zen kunyesha iyo mvua mm namtimua huyo binti zen huyo mume atakoma na mm sasa mana najua azabu za kumpitia mpaka angejuta kunioa

Hebu wape wenzako hizo mbinu za adhabu za kuwashikisha adabu wanaume wakware kwa wasichana wa kazi ili nao wanufaike na ubunifu wako....
 
Back
Top Bottom